Recent content by Opobo Jaja

  1. O

    Utofauti unatisha

    Inafikirisha sana mzee, ilitokeaje kukawa na utofauti kiasi hiki yaani utofauti ambao hata kuiga tunashindwa tunazidi kuwa wajinga tuu..
  2. O

    PostGE2025 CHADEMA yatangaza siku saba za maombolezo kuwaenzi waliofariki wakati wa uchaguzi mkuu 2025

    Kwenye kuomba kuna kukubaliwa na kukataliwa haujapangiwa kua ukubari au ukatae ni chaguo lako...
  3. O

    Chimbuko la migogoro yote ya kisiasa, mafarakano ya wenyewe kwa wenyewe, mauaji na maafa miongoni mwa waAfrica ni kanisa katoliki, kweli si kweli?

    Linasingiziwa kwa maana hakuna sehemu wamesapoti ujinga unaofanya na watawala zaidi wanakemea sana. Ni hizi tamaa za kurithi ndo zinazoleta haya maafa.
  4. O

    Leo ni siku muhimu sana kwangu nimeamua kuacha maisha ya uzinzi na uasherati na kufungua ukurasa mpya

    Inawezekana pia hajuti kwa chochote maana baya lisilo umiza ni jema lisilo na faida..
  5. O

    Video: Kijiji kizima kimenaswa kimeiba umeme Mbeya

    Tanesco wanajua sana walichokifanya juu ya haya mambo wanazuga tu waonekane wanafanya kazi kwa kuumiza wananchi tu.. cha kushangaza hao wanaodaiwa wameiba umeme walikua wanatumia mita zilizosajiliwa vizuri kabisa na Tanesco na wananunua umeme vizuri kabisa...
  6. O

    Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Hawa jamaa ni wazi kuna chuki hivi dhidi TAL na kuna jambo wanatamani litokee kabisa la kutuumiza wa "Polisi mpelelezi kumuandikia maelezo mtu anayemuhoji" wanasema mtu eti kwa maana hiyo wao sio watu hakuna sababu kuwahoji..!!
  7. O

    Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Hawa jamaa ni wazi kuna chuki hivi dhidi TAL na kuna jambo wanatamani litokee kabisa la kutuumiza watanzania
  8. O

    "Jau" ina maana gani?

    Yaani unaleta nyuki
  9. O

    Mod uliye kazini: Una uhasama nami au ni shida gani?

    Sauti zingine hazina sababu ya kupaa banah
  10. O

    Usafiri wa bajaji na boda boda katika jiji la Dar

    Kuweka mipaka itakua ngumu mkuu wapewe elimu na nguvu iwekwe kuwajibisha wavunja sheria na wanaoenda kinyume na taratibu za kazi zao.. ila bajaji khaa...
Back
Top Bottom