Recent content by OpenMinded

  1. O

    Hivi kwa nini Wanaume wanalipia ngono?

    Buddy that is so naive.............
  2. O

    Je, ni urefu au Unene?

    PDiddy Ulienda kozi nini kaka?
  3. O

    Obama kuanza kuporomosha ndege na mabomu Afrika ?

    Mimi nadhani hujapata pointi hapa. Kwanza ni lazima uelewe kuwa kupiga vita dini fulani haina maana ya kwenda katika nchi ambayo ina idadi kubwa ya waislamu bali inategemea na malengo. Besides where America decides to fight islam is america's choice not subject to your opinion, so get it...
  4. O

    Tanzania rejects EAC proposed land reforms

    Unajua inafurahisha kuona jinsi inavyoweza kuwa rahisi kuona tofauti baina ya watu ambao wanaweza kudhani hawana tofauti kubwa. Katika kuliangalia suala hili la jumuiya utagundua tofauti kubwa iliyopo kati ya Tanzania na nchi nyingine wanachama za EAC. Nimejaribu kufikiria ni kwa nini Tanzania...
  5. O

    Kama ungepewa urais ungeanza wapi kunyanyua hali za wananchi?

    Mimi nadhani tatizo kubwa ni mfumo wetu wa utawala ukichangiwa kwa kiasi kikubwa na katiba yetu isiyojali maslahi ya mwananchi wa kawaida. Kwa hiyo suala hapa si kama ukipewa nchi bali ni namna gani uchukue nchi ili uwe na uwezo wa kubadili mfumo mzima wa utawala. Kwa upande wangu nadhani...
  6. O

    Aibu tupu Dodoma

    It is bullshit
  7. O

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Si kila jambo linahitaji kura ya maoni lakini kila jambo linalohusu maslahi ya wananchi linahitaji uwazi. kwa nini hatuelezwi kwa uwazi ni kitu gani kinahusika na muungano na kipi hakihusiki. Jiulize?
  8. O

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Hapa tatizo watu wanashindwa kuwa wazi. hili suala la muungano ukiliangalia kwa undani lina mushkeli kwa sababu ninaamini wazanzibari si wajinga kulalamika kwamba tunawameza. Siwezi kueleza kwa undani hapa lakini kuna document nyingi tu unaweza kupata ambazo zinaweza kukupa mwanga mzuri kuhusu...
  9. O

    Toa maoni yako

    tatizo huwezi kuandika suala kama hili kwenye chombo cha habari maana utaulizwa ushahidi na ni wazi huwezi kuwa na uthibitisho zaidi ya ushahidi wa kimazingira kwa hiyo akili kumkichwa kaka.
  10. O

    Toa maoni yako

    Tatizo ni kwamba hawa watu wanadhani watanzania ni wajinga sana kiasi cha kushindwa kuona hali halisi. Ni suala liko wazi kabisa kwamba JK anahusika na hii mikataba otherwise angekuwa amechukua hatua zinazostahili
  11. O

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Uko sahihi Kamundu wanachohitaji waislamu ni kuamua mambo yao ya kijamii kwa misingi ya dini yao kama ambavyo wakristo wangependa kufuata dini yao.
  12. O

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Labda nikuulize swali moja dogo tu. Wewe utaridhika ikiwa mmeandaa mpango wa jinsi ya kuendesha maisha yenu wewe na mkeo, mpango ambao hauingilii uhuru wa mtu mwingine wala haukiuki katiba halafu anatokea mtu anakwambia hapana huu mpango si mzuri inabidi tufuate mpango tofauti?? Maana...
  13. O

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Hili suala ili tuweze kulijadili vizuri na kuelewana inabidi kwanza tuelewe maana ya mahakama ya kadhi na mipaka yake. Kwa uzoefu nilionao wengi wanaopinga mahakama ya kadhi hawajui hasa mahakama ya kadhi ni kitu gani. Ni vizuri tutambue kwamba hivi sasa dunia iko katika joto la mgongano wa...
Back
Top Bottom