Recent content by onjwayo

  1. onjwayo

    Ndugu zangu Chadema hata ikitokea mbingu zimeagiza muunde serikali nyie hamtoweza kwani hamna hata mbunge mmoja, sijui kwanini mlisusia uchaguzi

    Hizi buku 10 za kupewa zinawafanya muandike chochote hata kama ni thinking kutumia kamasi
  2. onjwayo

    PostGE2025 Samia aligombea Urais ili iweje?

    Uliza Hilo swali kituo Cha polisi utapata jibu sahihi. Sisi huku unatuonea tu
  3. onjwayo

    Mawakili wadai hawatakubali Mwabukusi avuliwe Uwakili, Wafungua kesi

    Kwahiyo serikali hii haitaki kusikia neno haki? Halafu kwa nini mawakili hao hao baadhi watumike kuondoa wenzao? Hivi kazi ya uwakili ni kuisifia serikali au kulinda haki za jamii?
  4. onjwayo

    Hebu tupige story kidogo kuhusu ukatili katika ndoa, je ndoa za wake wengi nako kuna mauwaji?

    Acha niwaibie Siri Leo! Ile Siri kati ya Hawa na Shetani ( nyoka) imeanza kuvuja. Kuna wanaume wasioweza kubeba vitu vizito vifuani. Hao baada ya kupata hiyo Siri wanaona Bora wamalizane na wake/ wapenzi wao. Ndugu zangu tusidadisi mambo ya ndani Toka kwa wenza wetu, Ili tuishi kwa amani na...
  5. onjwayo

    Gazeti la Uingereza ladai kuwepo Mtandao Mkubwa wa Silaha na Dawa za Kulevya Afrika: Marais Kadhaa Watajwa. Uchunguzi (investigation) unaendelea

    Huwezi kukuta hii kwa waandishi wa habari wa Afrika na ukiikuta ujue huyo kesho maiti yake inaokotwa ikiwa macho na makucha yameng'olewa
  6. onjwayo

    GE2025 Mahakama yatupa maombi kupinga kanuni za maadili uchaguzi mkuu 2025

    Hii hii MAHAKAMA ambayo majaji wake ni wateule wa mgombea urais kupitia CCM au Kuna MAHAKAMA tofauti?
  7. onjwayo

    October 29 Ilichangiwa na Kauli Mbofu Mbofu za Viongozi Kinyume cha Maadiili!, Je Media Tuwaripoti Bila Uoga ili Secretarieti ya Maadili Iwakemee au?

    Maandiko mareeeefuuuu kuchosha tu watu, hiyo oct29 wewe ulikuwa wapi kutuandikia haya?
  8. onjwayo

    Kamati ya Maadili CCM : Hili la tapeli Wicknell Chivayo mnafunika kombe?

    Tatizo lenu mnaoongea na bubu mnadhani anasikia na atawajibu. CCM ashajichokoea hawezi kujibu, ila ukitaka jibu subiri jeshi la polisi watakuja kujibu kwa niaba au Mwaipopo atakufuata na jeshi lake!
  9. onjwayo

    Serikali kuanza kutoa Leseni za Ualimu kupitia Bodi ya Taaluma ya Ualimu

    Heshima ya walimu inashuka sababu mnawashirikisha kwenye wizi wawaibie ccm kura mshinde uchaguzi kwa kkishindo. Ebu niambieni kama mwezi ashawahi kupata heshima?
  10. onjwayo

    Jaji Mutungi: Vyama vyote vimefika, isipokuwa kile kimoja kinachojitafuta

    Eeee huyo ni jaji? Nachukia, Mungu anisaidie nisije kuwa Jaji!!! Kumbe nao wanasomeka hivi?
  11. onjwayo

    Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

    Tatizo nini kwani ? waache wafu wakazike wafu wenzao
  12. onjwayo

    Nchimbi yuko wapi?

    Bahati mbaya hata pambio la Kiromani hatujui kuimba
  13. onjwayo

    PostGE2025 Wasira: Kila siku Lissu anaweka mapingamizi, ndio maana inachukua muda mrefu

    Huo mdomo wa Wassira nadhani unatakiwa uwekewe pazia maana haelewi anachoongea. Siyo makosa yake , naona ni kupoteza kumbukumbu sababu ya uzee. Mabingwa wa ahirisho ni mawakili wa serikali ambao wanashupalia kesi isiyo na evidence. Anyway acha tuone
  14. onjwayo

    Hii Hapa Rasimu Kamili ya KATIBA MPYA yenye Sura 14 na Ibara 321. Ipo Katibampya.com. Karibuni Tuijadili Wanajamvi

    kwa uvivu wa watanzania hakuna anayeweza kusoma isipokuwa wachache wanaoshughulisha akili zao. Halafu wakishashughulisha kichwa wanakuja wavivu kuwaweka ndani kisingizio eti uchochezi. Kifupi the big brains wanaoonekana kuwa ni wasaliti na brains ndogo hutumika kutawala sababu ya pesa na nguvu...
Back
Top Bottom