Recent content by OMKEIT 93

  1. OMKEIT 93

    Jamani ni mimi tu sipati kazi ama kila kitu ni connection, mwenye kazi aniajiri wajameni

    Halafu mnasemaga jamii forums wote ni matajiri!🤔
  2. OMKEIT 93

    Ukweli Mchungu:kwa Siku hizi Vyeti Havikupi Kazi, Tafuteni Connections

    Hata hizo connection kuzipata ni kwa mbinde bwashee!!
  3. OMKEIT 93

    Ni basi tu kuna serikali ila uislamu unatamani kumaliza dunia nzima

    Usibishane na wajinga waache watoe povu !!!!!
  4. OMKEIT 93

    Wakuu leo nimepishana na ISRAEL mtoa roho

    Sasa kumbe ulisomea Nini uko chuo? nachoka Mimi🤔
  5. OMKEIT 93

    Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

    Wafuasi wa Dini ni wengi lakini wanaoshikamana na Dini (msimamo) ni wachache sio Kila anajiita muislamu ni muislamu wa kweli Wengine ni waislamu jina tu
  6. OMKEIT 93

    Acheni maneno ya mitaani na mitandaoni... Kupata mke ni kazi sana miaka hii

    Mimi sijaelewa kabisa embu soma kichwa cha habari na habari yenyewe vinaendana kweli 🤔 Hivi mtoa mada alikuwa ana Nia ya kumuoa huyo binti au alikuwa anataka kuzini nae tu ?
  7. OMKEIT 93

    Godbless Lema: Mtoto wangu hawezi kuendesha bodaboda, ni laana

    Kwahiyo hizi bodaboda hazifai kumilikiwa na watu au azifai kufanyiwa biashara maana sisi wengine tuna mipango ya kununua boda zetu binafsi kwaajili ya matembezi tu!
  8. OMKEIT 93

    Hivi Adam na Hawa kosa lao lilikuwa ni lipi na Shetani kosa lake ni lipi??? nimesoma maandiko bado sijaona

    Mimi niliambiwa humu ndani hamuamini vitabu vya Dini Sasa haya mnayojadili sijui mnayatoa wapi!
  9. OMKEIT 93

    Kwa kweli mke ana faida kubwa katika maisha

    Wale wazee wa kataa ndoa watakuja kukupopoa
  10. OMKEIT 93

    Trump awalaumu Waislam kwa Machufuko huko Paris, Ufaransa

    Mbona ujajibu swali! Je walio amasisha watu kuandamana na kufanya fujo ni waislamu? Jibu swali acha porojo!!!!
  11. OMKEIT 93

    Trump awalaumu Waislam kwa Machufuko huko Paris, Ufaransa

    Kwenye katiba zenu za nchi mnaruhusu maandamano halafu watu wakiandamana mnaushutumu uislamu 🤔 Hivi tangu lini maandamano yakawa ni kheri? Maandamano ni shari tu!! Ndio maana ukiusoma vizuri uislamu sahihi maandamano katika uislamu ni haramu na wanao andamana hawauwakilishi uislamu bwashee 😂...
  12. OMKEIT 93

    Je, ni lazima mtu awe na mipango maishani, au tunaweza kufanikiwa hata bila mipango?

    Kama una pesa za kumwaga basi unaweza kuishi bila mipango na maisha yakaenda lakini kama ndo unajitafuta bila mipango utoboi!!!!!
  13. OMKEIT 93

    Uhusiano wa vazi la kijora na Umasikini

    Kila watu Wana level zao za maisha mbona majadili mambo ya kijinga Kwani umasikini ni jambo la ajabu?
Back
Top Bottom