Ujumbe mzuri sana huu, brothers this is for you. Hamjachelewa you can't change the past but u can make a better tomorrow. Stay +ve, think +ve, u can achieve.
My friend hayo ndio mahesabu ya MC. Usimdanganye kaka wa watu akalea mtoto asio wake. Am very good in this. Na kama ushagundua huwa sicomment kiushabiki ndio mana sikumwambia ni yake au sio yake ila nikampatia formula adifferentiate na kuintergrate ili apate jibu mwenyewe.
Sasa wewe nawe...
Yani hiyo mimba sio yako kabisa hata kama mzunguko wake ni wa siku 31 au 28 sio kabisa kwa mizunguko yote hiyo hesabu kama nilivyokueleza utakuta hizo tar zinafall under safe days.
kuanzia siku aliyopata hedhi hesabu mpaka siku kumi hizo ni safe (kama anaenda 4days una 6days za kujivinjari), then danger ni kuanzia siku ya kumi na moja mpaka kumi na tano, ndani ya hizo siku ya 11 mpaka ya 15 kuna siku ambapo yai ndio litapevuka na mwanamke anakuwa na hamu sana ya ku-do...
Kwa kweli humu JF kuna watu wanatoa maoni ya ajabu sana. Hili swala ni baina ya nchi kwa nchi na sio chama kwa chama. Inashangaza sana kuona mtu anamfurahia rais wa nchi anayetishia amani ya nchi yake. Uwe CCM au CHADEMA au CUF and so on, inatakiwa tuonyeshe ushirikiano katika kutetea Taifa letu...
hivyo nikamwambia mimi basi tena!
Hongera kwa msimamo wako mzuri keep it up.
Kuna msemo mmoja unasema 'Mwanaume hageuki maneno, bali anageuka kitandani'
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.