Recent content by olfactory

  1. O

    Serikali ya Tanzania imetetea uhuru wa mahakama kufuatia hukumu ya Tundu lissu

    Hapa hatuna serikali, hiki ni kikundi cha wachawi kabisa.
  2. O

    Mtoto wake alifariki, alipoenda msibani akafutwa kazi

    Ile mashine angemsukumizia mchina moja kwa moja, pelekea kichwani.
  3. O

    DOKEZO Wanachama wa CWT-Butiama tuna changamoto dhidi ya viongozi wa chama kwa ngazi ya Wilaya

    Msiwe kama mna mtindio wa ubongo, chagueni njia wanayotaka hameni hicho chama, wakiendelea kuwazungusha fungueni kesi mahakamani.
  4. O

    Mwigulu Nchemba, adhabu za viboko mashuleni hazifai; Mahakama imeshasema

    Watakwepa viboko shuleni ila watavikuta nyumbani.
  5. O

    Taarifa za habari mbona kama zimelowa mvua, kulikoni?

    Mtu na akili zako timamu, unaangaliaje taarifa ya habari?, tena kwenye chanel za ndani (local). Tokea wapotezee matukio ya oct, 29-31 niliwapuuza moja kwa moja.
  6. O

    CHADEMA mchague mwenyekiti mwingine Lissu amekosa sifa ya kuongoza chama kwa mujibu wa Katiba ya nchi

    Chizi wewe, sio bure. Lissu na samia nani hana sifa za uongozi. Sura kama govi.
  7. O

    Je, Godbless Lema atahudhuria hukumu ya Tundu Lissu kesho?

    Vyovyote itakavyo kuwa, wengi wetu tumejiandaa kwa hukumu mbaya.
  8. O

    Kuna watumishi wanajua kukopa nyie!

    Na hapo unakuta card ya bank imeshikiliwa na kataasisi ka mikopo chechefu.
  9. O

    Kwanini Watanzania wengi sana wanachanganya L na R?

    Madhara ya ugali haya.
  10. O

    Tuwe na subira,tungoje kwanza tume zimalize kazi zake,ndipo tuanze kulaumu.

    Nipigwe ban tu, watu kama nyinyi ndio mnafanya tutaanza kuviziana mitaani huku, makalio yako.
Back
Top Bottom