Recent content by oldie

  1. oldie

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii week hujaonekana kabisa hii mitaa
  2. oldie

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwahyo hujaongeza option zako kabsa
  3. oldie

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ukipata mkuu usiache kushare nasi
  4. oldie

    Unalitambuaje godoro feki?

    Hilo godoro Halifai kabsa labda kama wanayo mengine mazuri
  5. oldie

    Ukimkuta mwanamke ana roho mbaya, ni anayo mbaya kwelikweli

    Hata mimi nilishawahi kusema hivyo ila sina roho mbaya.
  6. oldie

    Wenye uzoefu na biashara ya mazao naomba ushauri

    Kama hutojali mkuu unaweza toa mawazo kidogo juu ya biashara ya mpunga,mimi binafsi nahitaji kuanza hiyo biashara msimu huu.
  7. oldie

    Wenye uzoefu na biashara ya mazao naomba ushauri

    Ilikua inatengenezwa sijajua kama imeshakamilika
  8. oldie

    DODOMA: Kama Kuna Mdau Muda Huu Upo Macho

    Binafsi sijasikia chochote
  9. oldie

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomba odds 10 sportybet
  10. oldie

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Naona tayari wameshafungia,nimejaribu kulog in bila vpn ikagoma.
  11. oldie

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ulikua unaweka odds ngapi?.Wengine kila siku nikuliwa tu
Back
Top Bottom