Si kwamba ana point nzuri , ni watu wale wale waliozoe kuwakandamizi wazawa. Watu wanajua historia ya akiana DEWJI na biashara walizokuwa wanafanya huko SINGIDA
Namshauri AZIM ukae kimya maana hitoria huwa haifutiki
Katika picha ya ramani kwenye TV hiyo wilaya ya igunga iko katikati , ukweli ni kwamba inapakana na wilaya ya Iramba na na uyui inapakana na mamnyoni. AIBU kwa TV ya wasomi kutokuelewa vitu vidogo hivi
Mkuu JK umefanya vizuri sana, umewaambia wasaidizi wako '' si nyie mmeandika hii hotuba wajibuni Maaskofu mimi sijui kama nimesema hivyo msinichonganishe tafadhali''. Siku nyingine watajirekebisha vinginyo watimue tu , wajivue gamba.
Maswali ya kujiuliza hivi.....
Hivi inakuaje kiongozi kama Nape kuongea na vyombo vya habari huku akionyesha chain .
Hivi Chama hakina maadili yanayohusiana na mavazi.
Hivi alisahau au alifanya makusudi.
Hivi kiongozi mkubwa kama huyo anaonyesha mfano gani.
Hivi tukisema ameanza kulewa madaraka...
Healing Cup
Rabbi Azulai's Healing Cup:After 30 years of practicing the Kabbalah and writing numerous talismans, Rabbi Azulai was able to craft a special cup that holds all the secretes to the Kabbalah. The Cup consists of kabbalists names engraved inside it and is made of pure silver from...
Mimi nilimsikia Dada Regia, alisisitia kwamba PHD za sasa ni sawa BA. Mbunge mmoja aliomba mwangozo wa Spika, kuthibitisha au kufuta usemi huo. Dada REGIA alikawa NGANGARI akasema kwa maono yake ndivyo anavyo amini na hawezi kufuta. SPIKA kwa kutumia busara hakutilia maanani badala yake...
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Jaji Mkuu Agustino Ramadhan, wakati wa sherehe za kuapishwa Waziri Mkuu zilizofayika kwenye Viwanja vya Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma leo.
Kuna mtu kaniambia kuwa eti jumla watu waliopiga kura kumpigia RAIS ni chache ukilinganisha ni jumla ya kura za watu waliowapigia wabunge. HIVI HII ni kweli imekaa sawa kwani wakati wa kupiga kura si unapewa karatasi tatu za Rais, wabunge na madiwani na baada kujaza ulikuwa unatubukiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.