wivu ni muhimu sana, na bnila wivu zi kwamba humoeni mwenzako, vivu ndi unaonyesha unamoenda na kumjali mwenzako kiasi gani,
huu upendo wa kikaka kakaaa tuu si huo unaongelewa hapa, hapa unaongelewa upendo wa kimahusiano ya kimapenzi,
so wivu ni muhimu na wivu ni kipimo cha mapenzi, tena...