Recent content by nyonyo

  1. N

    Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

    Du!pole sana mshkaji, lakini naomba kuuliza, je ulimkuta bikra au alishamegwa na wengine kabla yako? Kama alivyosema jamaa hapo juu, fimbo ya mbali haiui nyoka. Haya mambo hutokea sana na hata kwenye ndoa. Wewe hujawahi kuchapa pembeni? Kama mmesamehana na mnapendana, unaweza kumuoa tu, hamna...
  2. N

    Nini hasa dhumuni la nchi kuwa Huru?

    Jamani eeh, naona mnasema mengi, hadi mambo mengine yanaleta tafsiri kana kwamba waasisi na waliotuongoza kupigania uhuru walifanya kazi bure. Uhuru ni kujitawala, kujipangia mambo bila kuingiliwa. Tatizo kubwa ni umasikini. Hili ni lazima tulikubali.Siyo kwamba viongozi hawa hawakuwa wabunifu...
  3. N

    Hivi CCM hamuoni aibu kwa haya?

    Mlitaka CCM ifanye nini? imeua vipi vitu hivyo? mbona hamfafanui? CCM ni taasisi kwa maana ya chama, kuna watu wametajwa kwenye baadhi ya madudu na hatua zimechukuliwa. sasa hapo inakuwaje? hebu jaribuni kujenga hoja na tuijadili, kuliko kuropoka tu.
  4. N

    Mke wa balozi Daraja auawa; Mfanyakazi wa nyumbani atafutwa

    Ni kifo cha kusikitisha sana, but naungana na yule ambaye ametaka tusitoe hukumu kwa houseboy, tusubiri kazi ya polisi. Poleni sana wafiwa.
  5. N

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    Ninachofahamu, PCCB ndiyo wakamataji. Mtego unawekwa, mtu unapokea na muda mfupi jamaa wanakutokea na kukutia mbaroni. Haya hii tena inakuwaje, eti polisi mnamkamata Jerry kwa madai kuwa ameomba rushwa. Kwani ilitolewa? mbona hili halizungumzwi? Jana tunaijua...ALUTA KONTINUA. TBC fanyeni kazi...
  6. N

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    Hivi kwanini iwe jana? hizi ni njama tu za askari polisi na watu waliokula nao njama. Hata hivyo nasikitika kusema kwamba njama zao zimegonga mwamba. Hiyo rushwa mbona hajakutwa nayo mkononi? Polisi mmekosea, jaribuni siku nyingine. Na hawa wanaoshabikia hawana maana hata kidogo. Nani aliye...
  7. N

Back
Top Bottom