Kama laini aliifunga basi haiwezekani muamala wowote kufanyika. Na baada ya ku'renew Sim card kuna muda wa kusubiri ili fedha zirudi kwenye A/c mpya ya Mixx by Yas nadhani saa 24.
Pia, kwa kuwa aliripoti wizi na kiwango hicho cha fedha huwenda kukawa na mchakato mrefu kidogo kabla ya hizo fedha...
Katiba mpya ni 'dhima mpya ya kifikra' (general mentality of the people). Tatizo lilipo, ni kwamba sisi Watanzania tulio wengi tunadhani katiba mpya ni kitabu kipya cha sheria, a new printed book composed of set of rules. Ndio maana hatujui nani anatakiwa kukileta hicho kitabu, safari ni ndefu mnoo.
Ujinga wa Mwafrika ni wa asili, hivyo ni ngumu sana kuufuta kwa elimu ya darasani pekee. Mwenye akili siku zote anapambana kuiona kesho ilihali mjinga anapambana kuijenga leo tamu.
"Uhuru mkubwa" hautoshi, inatakiwa uhuru kamili.
Ndiyo itavunjwa tunajua, ila uwajibikaji utakuwepo kwani mahakama itakuwa na mamlaka ya kulinda na kusimamia misingi ya sheria mama, na sheria nyingine ndani na nje ya nchi.
Tofauti ya Africa na huko kwingine kunatengenezwa na aina ya sheria za...
Watakuwepo, na ndio maana tunadai iwepo katiba ambayo itatoa uhuru kamili wa mfumo wa utoaji haki. Ili kuwadhibiti watu wa namna hiyo kupitia fair orders za mahakama.
Technically inaruhusu. kwa sababu kinachotakiwa, na kinachoweza kulinda raia na mali zao ni Sheria tuu na sio jeshi la polisi...
Impunity, kitendo cha mfumo mzima wa utoaji haki (judicial system) kutokuwa huru kina athari za moja kwa moja mpaka kwa raia.
Kwa mfano, hivi kama mahakama zingekuwa huru kuna polisi angebambikia mtu kesi? Kina Sabaya wangechukua mali za watu kibabe?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.