Kuna yule shehe feki Mwaipopo. Anaitisha mpaka press conference halafu anaanza kutoa vitisho vya kigaidi lakini hafanwyi chochote.
Pata picha Askofu Gwajima ndo angekuwa amesema maneno aliyoyasema Mwaipopo.
Au ingekuwa John Heche ndo kasema yale maneno dhidi ya CCM.
Wangekuwa washapotezwa...
Makaburu wamekuwepo Afrika Kusini tokea karne ya 16…..miaka ya 1500 huko.
Walikuwepo huko kabla hata ya baadhi ya makabila ya kibantu hayajahamia huko.
Hivyo makaburu wala hawakuwa wageni kivile.
Hata watu weusi Afrika Kusini walimiminiwa risasi nyingi tu.
Huko nako hao makaburu walikuwa wanaua hadi watoto kama alivyoua Samia.
Swali ni je, hao Waafrika Kusini walikaa na kusema hawana cha kufanya au ndo walizidisha mapambano.
Makaburu walikuwa wanaua hadi watoto wa shule za msingi...
Kuna mambo hatupaswi kuya normalize kwa sababu yeyote kati yetu yanaweza kumtokea.
Ni ajabu sana kwa mtu aliyekuwa makamu haramu wa Rais kutoweka tu namna hiyo pasipo na maelezo ya kueleweka na kuridhisha.
Kwamba kupotea kwao si jambo la kushtusha.
Kwamba watu washasahau au labda hawajali kabisa.
Nawazungumzia Humphrey Polepole na Emmanuel Nchimbi na by extension, wengineo ambao nao wamepotea bila maelezo.
Kama hao waliokuwa viongozi wanapotea tu pasipo na maelezo na jamii wala haistuki, vyombo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.