Recent content by Nyamaiso

  1. N

    Angalizo kesi ya Tundu Lissu: Mahakama Kuu isifanye kazi ya CCM

    Nakukumbuka hata wewe Kalamu, miaka ya 2011 au 2012, kulikuwa na mjadala mkali sana wa mambo yake Muungano, nakukumbuka wewe KALAMU, NGURUVI, MWANAKIJIJI, KIRANGA, MKANDARA, wengine nimewasahau, Tokea wakati huo nikiona majina hayo kwenye mjadala wowote humu, sipiti bila kusoma, Ahsanteni...
  2. N

    Je, Katiba inatatua matatizo yote ya Taifa? Jibu la kweli, na kwa nini pendekezo hili linastahili macho ya kisomi

    Sawa , ahsante sana kunitielea ufafanuzi mzuri, Nimeona Baraza la Usimamizi ni chombo muhimu sana ambacho kinatakiwa kuwepo, , pamoja na kwanza haki nyingi zinazovunjwa waziwazi na tuliowapa madaraka zingeweza kusimamiwa vizuri kama sio , niite uhuni tu na ubabaishaji uliopo kiutawala, Bado ni...
  3. N

    Je, Katiba inatatua matatizo yote ya Taifa? Jibu la kweli, na kwa nini pendekezo hili linastahili macho ya kisomi

    Naomba kuuliza, Hilo baraza la usimamizi la Taifs, litakuwa na tofauti gani na usalama wa Taifa(TISS) Inamaana vyombo tulivyonavyo kama BUNGE, hiyo sio kazi yake?
  4. N

    Je, Katiba inatatua matatizo yote ya Taifa? Jibu la kweli, na kwa nini pendekezo hili linastahili macho ya kisomi

    Ahsante sana kwa bandiko zuri, Swali lang ni hili, je katiba ya sasa haina mambo yote hayo? Mimi kwa uelewa wangu yapo! Sasa je , tatizo ni hayo mambo au utekelezaji, ? Mimi najua tatizo ni utekelezaji, na je , kwa nini hakuna utekelezaji , mimi ninachojua ni viongozi au watekelezaji kujiona...
  5. N

    GE2025 Askofu Bagonza: Hili la Askari wa kukodi (Mercenaries) lisikaliwe kimya

    Mengine yote ni sawa, Lakini mkoa wa Mara jina kake likikuwa hilohilo , Mara, haukuwahi kuitwa jina la Ziwa Mashariki, Kuhusu Hand Pope, hawa vijana wamekariri Hansoope wa Simba, Kumbe alikuwepo Mkuu wa polisi Kagers akiitwa Hans Pope, ambaye ni kaka yake na Marehemu Hans Pope wa Simba
  6. N

    Ni mamlaka ya Katiba ndio msingi wa haya yote

    Hilo ndio jibu, not what you think, but that’s what it is.
  7. N

    Ni mamlaka ya Katiba ndio msingi wa haya yote

    Mayor, kuwa Rais wa Tanzania ni rahisi sana, Hata uwe na uwezo gani kielimu, au una vipawa vyote vya kuwa kiongozi mzuri, lakini kama haupo kwenye korido za Lumumba, sahau urais, Siku moja utasikia hata Msukuma ni Rais, Majina yote ambayo unatasikua leo wapo CCM, basi mmojawao hapo ndio Rais...
  8. N

    GE2025 Day 5: Patrol inayoendelea katika baadhi ya viunga vya jiji la Dar es Salaam

    Watanzania, mtu anatutaarifu, kwa hiyo hata mauaji wanayofanya, inabidi yafanyike kimyakimya, ndio maana yako, Ni information zipi hizo nyingi.
  9. N

    GE2025 Atawatawala kwa Risasi na Mamluki?

    Ndugu yangu , unasema watabadilika, ili waweje, hivi kwa akili ya kawaida, wakinadilika wanabadilikaje, hicho chama , kuanzia Viongozi wao wote mpaka uongozi wa chini kabisa, akili zao ndio hizo, mpaka washabiki wao wapo hivyo, leo wabadikike, kinabadilika kitu gani, ndio maisha waliozoea, dawa...
  10. N

    GE2025 Atawatawala kwa Risasi na Mamluki?

    Huyu mtu anaudhi sana, yaani ni binadamu wale wanaosherehea watu wakipatw na mabaya, ni kama mchawi Fulani hivi, Nashangaa ni mwandishi gani wa habari mjinga kama hivi, anachoandika hakieleweki , kama ni mwandishi kweli, hajulikani anasimamia nini ktk uandishi wako, ni mtu anayeleta maudhi tu.
  11. N

    GE2025 Atawatawala kwa Risasi na Mamluki?

    Kwa hiyo wananchi tufanye nini ndugu Pasco, tusubilie mpaka Yeye atakaamua unachojisikia
  12. N

    Hesabu Zinasema Alipata Kura Milioni 32

    Kalamu, naona unjipa home work ya ajabu sana, Hivi kwa uliyojiuliza hapo, akitokea mtu wa Tume ya Uchaguzi akakuelewesha , utakubali, Naona tuangalie the way forward nini cha kufanya, sababu majibu hata kwa mtu wa kawaida kabisa yanaonekana, ni wizi na kupika matokeo kama kawaida yao.
  13. N

    The United Banana Republic of Tanzania!

    Bahati mbaya, Mungu hakumpa huo uoni(sijui hasa jina lake, labda utambuzi) Haoni kitu chochote nje ya anachofikiria yeye, ni kama kapigwa upofu, Wanachoona wengine yeye haoni, wewe ukiona watu wanaulia, yeye haoni, Ukiwaona rushwa imetamalaki, umyeye haoni, Watu kupotea,yeye haoni, ndio hivyo...
  14. N

    Pongezi kwa Mashujaa Wetu Wote. Kazi Inaendelea

    Kalamu, asilimia kubwa ya Watanzania, ni wezi, wavivu, wanafiki, masikini, wajinga, no exposure, wameridhika, na mambo kama hayo, Sasa ukiwatolea utawala ambao wanafanana nao, watakuona wewe ndio mbaya, Wataiba wapi tena, wakati tumezoea, atatufanyisha kazi huyu kama punda, wakati nikiuza...
  15. N

    Pamoja na unyang'anyi wote viongozi wa dini zenu watajazana kumsimika, mtaambiwa chaguo la Mungu

    Nchi zote zimeona hakukua na uchaguzi wowote , SADC, EU, SA, wote hao walikuwa upande wa Wananchi, hata CCM wenyewe wameona hakuna kitu kama uchaguzi umefanyika, bado mtu anajitangaza ameshinda kwa kura M 32, kama sio ujuha ni nini, nina uhakika hata robo ya waliotakiwa kupiga kura hawakupiga...
Back
Top Bottom