Recent content by nyak's

  1. N

    Mwenza wangu anasumbuliwa na kutoka damu kipindi cha ujauzito

    Mpeleke kwa Dr mwingine bingwa wa wanawake mtapewa dawa ya kuzuia hiyo threatening abortion inaitwa duphaston. Mkipewa atumie kikamilifu, pia asifanye kazi za kuinama mara kwa mara au kunyanyua vitu vizito, apate muda mwingi wa kupumzika. Msifanye sex kwa sasa hadi hali iwe shwari
  2. N

    Nataka niache kazi, nitafute goli Kariakoo niendeleze biashara hii hii ya nguo

    Shukrani, tatizo ratiba ya kazi ni ngumu haiwezekani kufanya vyote kwa pamoja
  3. N

    Nataka niache kazi, nitafute goli Kariakoo niendeleze biashara hii hii ya nguo

    Asante kiongozi, Bima ni muhimu sana hasa nchi zetu hizi maradhi kila kukicha
  4. N

    Nataka niache kazi, nitafute goli Kariakoo niendeleze biashara hii hii ya nguo

    Inazidi boss pamoja na hali ngumu lakini faida kwa sasa ni mara 1.5 au 2 ya mshahara
  5. N

    Nataka niache kazi, nitafute goli Kariakoo niendeleze biashara hii hii ya nguo

    Nimekuelewa mkuu, ni hizi sauti mbili kichwani ndiyo zinaniweka njia panda. Shukrani
Back
Top Bottom