wenyewe ndo wanatakiwa wafikie hatua ya kujitambua la sivyo hata polisi wakija hawatasaidia kitu nchochote kama wenyewe hawapo tayari. sina maana ya kuwa polisi wasifike katika katika eneo la tukio kwa ajili y usuluhishi la hasha maoni yangu ni kuwa kama wenyewe wakulima na wafugaji wameshindwa...
wenyewe ndo wanatakiwa wafikie hatua ya kujitambua la sivyo hata polisi wakija hawatasaidia kitu chochote kama wenyewe hawapo tayari. sina maana ya kuwa polisi wasifike katika eneo la tukio kwa ajili ya usuluhishi la hasha maoni yangu ni kuwa kama wenyewe wakulima na wafugaji wameshindwa...
hakika mandela umetuachia somo kubwa sana la kujifunza hapa duniani. binafsi naami ni ya kuwa kama kila mmoja wetu atafanya kama ulivyokuwa unafanya hakuna namna ya kushikana mashati mwisho wa siku
hakiak wale wote ambao wameendelea katika maisha yao hawakuzaliwa wakiwa wameendelea bali walijifunza kutokana na wengine hivyo basi nasi kufanikiwa hatuna budi kujifunza kutoka kwa wenzetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.