Nyumba ya vyumba vinne (self contained) inahitajika haraka.
Sifa:
1. Iwe jiji Mwanza (Ilemela na Nyamagana)
2. Hali nzuri
3. Usalama/fence
4. Inafikika bila changamoto
5. Parking ya gari 2 na kuendelea
Mawasiliano piga 0769746211
Isiwe na dalali
Habari!
Tunauza kuku aina ya Kuroiler F1(Ni chotara, wazito na wamejaza minofu), tunapatikana Bunju A, kituo "kwa Baharia", jirani na Kituo cha Mafuta cha GUDAL.
Bei ni kuanzia 14,500-18,000..kutokana na uzito wa kuku. Bei ya jumla kuanzia kuku 10 tunafanya 15,000. Weka oda yako mapema na...
Ni kuku bora, wenye nyama nyingi, watamu, wenye kuhimili magonjwa na watagaji wazuri. Kuhusu risk kwenye biashara hata kwa kinyozi ipo, usiwatishe watu katika kutafuta maisha. Njoo tukuhudumie ndugu, usijiwekee vigingi kwa habari za kusikia, mbona sisi tumefuga na sasa tunakuuzia?
Tunauza kuku aina ya Kuroiler F1, tunapatikana Bunju A, kituo "kwa Baharia", jirani na Kituo cha Mafuta cha GUDAL.
Bei ni kuanzia 14,500-18,000..kutokana na uzito wa kuku. Bei ya jumla kuanzia kuku 10 tunafanya 15,000. Weka oda yako mapema na karibu tukuhudumie kwa uaminifu kabisa...
Mengi umejitahidi kuelezea kwa ufasaha lakini utambue mabadiliko katika suala la uongozi ni jambo la kawaida.
Pia naomba kutofautiana na wewe katika hoja ya kudai kuwa fedha haikuwa kitu katika uchaguzi wa 2020. Ukweli ni kuwa rushwa ya uchaguzi hasa katika kura za maoni ilikuwa kubwa kuliko...
Assalaam Wanabodi,
Nauza gari yangu aina ya Toyota Mark II Gx 100. Gari hii iko katika hali nzuri. Haijaguswa Engine wala Gearbox kwa matengenezo yoyote.
Changamoto kidogo iko kwenye bodi, sehemu ndogo sana ya juu imelika kutokana na chumvi ya bahari hapa Dar es Salaam. Na hii ni kutokana na...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.