Recent content by Nuru ya Yesu kristo

  1. Nuru ya Yesu kristo

    Demokrasia ya Africa na vazi la uhaini

    Mataifa ya Dunia ya kwanza yalileta demokrasia na utawala wa kisiasa unatakiwa kufuata katiba ambayo ni Sheria mama. Cha kushangaza watawala weusi waliopokea uhuru washitakiwa na kosa la uhaini ( Nelson Mandela, Julius Nyerere ) kama njia ya kunyamazisha wapinzani wao wa kudai uhuru wa mataifa...
  2. Nuru ya Yesu kristo

    Mke kahamia chumba Cha watoto wiki sasa

    Omba visa/passport ya kukaa muda mfupi bila kumuona, ikiwezekana piga chini kabisa
  3. Nuru ya Yesu kristo

    Katambi: Matokeo ya kukopa fedha nje ni matokeo ya raia kutokulipa kodi

    Mhmm! Hii nginja nginja ni kutengeneza hadithi za kukwama kwa miradi ya serikali. Tz tunajua sana kuotea (offside) lakini tunashindwa kulinda goli letu, haya twende zetu na maotea yetu
  4. Nuru ya Yesu kristo

    Akili za watu wa CHADEMA zinafanana utafikiri wame share Bluetooth ubongo. Wao ni kutengeneza agenda ya uongo na kuanza kuichekelea

    Achaneni na chadema, Kuna haja gani ya kujadili watu msiowapenda nao hawawapendi? Mwenendo wa kutaja chadema kila mara inaonekana wanna kitu kizuru kuliko chenu, jitahidini kusema na vyama vingine vya siasa
  5. Nuru ya Yesu kristo

    Muda si mrefu CHADEMA wataelewa watu hawaoni umuhimu wao ila wanajipa ukubwa tu

    Jifunze kuandika mada kwa usahihi na weledi mpana, usitumie nguvu kubwa kuandika vitu kwenye jukwaa ambalo watu wake ni weledi wa kutisha juu ya mada yako
  6. Nuru ya Yesu kristo

    Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"

    Kuna haja ya kuwafundisha wanafunzi/watoto wetu juu ya faida na madhara ya mitandao ya kijamii.
  7. Nuru ya Yesu kristo

    Kukosoana

    Kukosoana Tunashangalia tunapokosoa wengine, wakitukosoa tunaona kama tunavuliwa nguo na uchi wetu kubagazwa; roho ya korosho inatukaa na kuanza kukemea kwa mamlaka yetu. Mapambio yanaimbwa kwa shangwe lakini nyimbo za kutushinikiza kutubu dhambi zetu hatutaki kusikia Wala kuwaona wa...
  8. Nuru ya Yesu kristo

    Ikumbukwe, Jaji Danstun Ndunguru ndiye aliyebariki Bandari ya Dar kuuzwa kwa DP WORLD

    Mimi nisiyefahamu sana Sheria, ikotokea lisu kapatikana na hatia na kuhukumiwa, je! Aweza kukata rufaa kwenye mahakama yetu ya rufani?
  9. Nuru ya Yesu kristo

    KKKT mmekubali kukumbatia Nyoka, acha awang'ate, Shetani hana rafiki

    Awe hai au amekufa kila Mungu ana watumishi wake
  10. Nuru ya Yesu kristo

    KKKT mmekubali kukumbatia Nyoka, acha awang'ate, Shetani hana rafiki

    Namba minari za makamisa zinavyotumika ni kumkosea Mungu na watu wake. Kama nchi siyo ya kidini basi viongozi wa nchi au serikali wabako na wajibu watu wa kuongoza nchi na watu wake, na wasipewe nafasi ya kujifanya wachungaji, manabii, mitume, manabii na walimu, waziache kazi hizo kwa
  11. Nuru ya Yesu kristo

    Lissu atafungwa kutokana na maneno yake, hata kama hakuwa na nia hiyo. Yalitokea kwenye uchaguzi ni rahisi kumhusisha nayo

    Narudia tena, Sheria ziwe mbovu, zimtie lisu hatiani au kumweka huru kitatoa nafasi wa Sheria zetu na katiba yetu kuboreshwa pia kubadilishwq ili kuendana na mabadiliko yaliyopo. Bahati mbaya sana watu tunatoa hukumi wakati mahakama haijatoa hukumi hiyo. Tuweke pembeni hisia, Imani, na itikadi...
Back
Top Bottom