Recent content by Nuru John

  1. N

    Hili nalo halionekani tatizo kwenye Chama...

    bora hata hao Chadema kulliko CCM kwasababu mke yupo kwenye mhimili mmoja wapo na mume yupo kwenye mhimili mwingine hamuoni kama hiyo ni hatari zaidi katika mstakabali mzima wa maamuzi ya nchi?vipi ilivyokuwa Kigoda na dada yake Aisha kigoda na shemejiKhatib aliyekuwa Waziri katika baraza...
  2. N

    Magufuli vs Ephraim Mrema

    unarekebisha mtaro pale penye mtaro,mie hapo siono mtaro zaidi ya mfereji wa maji machafu,hapo uzibi tena unamshauri mwenye mfereji kwenda kutafuta mkandarasi makini wakumjengea mtaro,tafuta a reliable source of ur information ndugu,l'm not the 1 b'se sijui hata kama u can relie on ma...
  3. N

    Jaji mkuu hawaamini watendaji wake au ......?

    Jaji Mkuu Augustino Ramadhani ameamua kuingilia kati kesi ya wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Africa Mashariki (EAC) kwa ajili ya kulifanyia mapitio ili kujiridhisha kuwa Mhe Jaji wa Mahakama Kuu aliyeisikiliza kesi hii,alizingatia mwenendo wa shauri na ushahidi wa kesi uliokuwa mbele yake na...
  4. N

    Ibara ya 102 ya Katiba ya Muungano: Seif na Balozi Idi vyeo vyao havimo

    unajua kilichotokea hapo ni kuirekebisha kidogo katiba ya Zanzibar kwa ajili ya kipindi cha mpito kwani Serikali ya Umoja wa Kitaifa si yakudumu ni ya mpito tu,sasa hapo sijui itakuwa accomodated vipi kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,any way ngoja tuwasikie Great thinkers wengine...
  5. N

    Dr. Slaa: Shitambala hana hatia

    katibu Mkuu wa CHADEMA Dr.Wilbroad Slaa amesema uchunguzi uliofanyika umethibitisha kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA aliyejiuzuru mkoa wa Mbeya hana hatia na ataendelea na cheo chake kama kawaida,hiyo ndio CHADEMA bwana,hakuna zengwe wametenda haki kama iinavyotakiwa,Hongereni sana wana CHADEMA...
  6. N

    CCM isimwage petrol kwenye moto unaowaka!!!!

    Nduguzanguni mie kama mtanzania mpenda amani ya nchi yangu nilikuwa nawasihi hawa ndugu zetu wanaCCM wasichochee hatari iliyopo mbele yetu katika hili jukwaa la siasa. CDM wamekwisha walk out infront of the president,sawa,tunajua imewauma sana,sawa,JE KUANZA KUSEMA KUWA WABUNGE WA CHADEMA...
  7. N

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    mie nadhani atupe sababu kwanini alikuwa hakubaliani na pendekezo hilo,lazima alikuwa na sababu,sasa asiseme tu tulipiga kura wengi wape,vilevile atuambie kwanini hakukubaliana na maamuzi yale then uamuzi utolewe na wana JF.
  8. N

    Viongozi wa CHADEMA kutokumtambua Rais ni Kosa?

    Ni kweli CHADEMA hawana pahali pa kupeleka hoja zao zaidi ya serikalini lakini je hiyo ni haki kumtendea mtu vibaya na kumtishia kuwa hawezi kutimiziwa jambo lake mpaka akutambue?Ikumbukwe kuwa anaetimiziwa pale si CHADEMA bali ni wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,akumbuke pia kuwa...
  9. N

    Hivi ni kweli serikali haipi???

    Asalaam aleiykum ndugu zangu wa JF? Mimi sikumuelewa siku ile Mama yangu Anne Makinda alivyomjibu Tundu Lissu kuwa ile hoja ya Waziri Mkuu haikupelekwa Bungeni na Serikali wakati alimwita Mwanasheria Mkuu Mhs.Jaji Werema aende akatoe hoja ya serikali ya kumpitisha Waziri Mkuu. Kama...
  10. N

    Spika ni mbumbumbu wa kanuni za Bunge?

    Mimi kwakweli nilijisikia vibaya sana kama mwanamke,vilivyonifanya nijisikie vibaya ni mambo yafuatayo: Wanawake mara nyingi tunaonekana kama watu wa kubebwa katika nafasi za juu kwasababu tunazozisababisha wenyewe kwa kuto tenda yale jamii kubwa inavyofikiria.Tundu Lissu alikuwa sahihi sana...
  11. N

    Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

    Hallow members of Jamii Forum?
Back
Top Bottom