Recent content by Ntumami

  1. Ntumami

    Mgomo wa daladala jijini Mwanza

    Tangu asubuhi hakuna huduma ya dala dala kwa jiji la Mwanza nasikia madereva wamegoma!! mwenye taarifa zaidi naomba atujuze!! PIck ups na pikipiki ndio zinaokoa jahazi la usafiri kwa jiji la Mwanza. hicho ki-suzuki pick up kimezidiwa lakini watu ndio wamebanana namna hiyo.....ilikuwa maeneo...
  2. Ntumami

    Ati wewe ungepanga vipi?

    wizara ya viwanda na biashara nitawafikiria wahindi na wapemba
  3. Ntumami

    Ati wewe ungepanga vipi?

    hapo kwenye madini hakika wasukuma wasingekosa!!! nenda mgodi wowote ule nchi hii kama una zaidi ya miaka 2 kuna msukuma wa shinyanga hapo!!!
  4. Ntumami

    salamu zangu za Mwaka mpya

    ooooh, i am mkongwe somehow nina ka mwaka na zaidi tangu niingie humu... nawazidi hadi kina kongosho!!!
  5. Ntumami

    salamu zangu za Mwaka mpya

    jamani, toka mwaka uanze nilikuwa sijapita huku.... na leo nachukua fursa hii kwa mambo mawili 1. Heri ya mwaka mpya wana JF woooooooote 2. naungana nanyi nyoote kwa msiba wa dada yetu.......... so sad to speak about it... May God bless us.... wishing you the best in 2012 my message to you...
  6. Ntumami

    kuandika jina ubavuni mwa gari lako: hii sheria ina umuhimu gani leo?

    habari wana JF Leo ningependa kulifikisha hili kwenu tulitazame sote kwa pamoja, huwa ninaona magari yameandikwa majina ya wamiliki ubavuni, mara nyingi kwa saloon ni karibu na milango ya mbele. Leo mtu mmoja akaniambia yeye alikutana nayo hiyo alipoenda kulipia faini mojawapo polisi akaambiwa...
  7. Ntumami

    Mikoa gani watu wao wanaishi kwa furaha Tanzania

    mh hapo pia anongeza na Geita na Simiyu
  8. Ntumami

    Mikoa gani watu wao wanaishi kwa furaha Tanzania

    kwa hli kweli huwa silifurahii hata kidogo.... kina nshomile wengi they are much proud of being Ugandans or Rwandans!!! kuna jamaa yangu mmoja kwenye mazungumzo yetu aliwahi sema siku ikitokea akashika nchi basi huo mkoa atampa Museveni
  9. Ntumami

    Mambo yanayoudhi humu jamvini

    ni pema tuuu.....
  10. Ntumami

    Mambo yanayoudhi humu jamvini

    ile Methali ya kiswahili...... Muosha........???
  11. Ntumami

    Mambo yanayoudhi humu jamvini

    ile Methali ya kiswahili...... Muosha........???
  12. Ntumami

    Aka fifte za hali tete....Kwa mshua, Inakuwaje mzazi?

    umenikumbusha hiii "HAbari bila wasiwasi na Wasiwasi Mwabulambo"
  13. Ntumami

    Nimeipenda hii staili ya uongozi shirikishi

    Hapa namuona Mbowe na wabunge wenine kadhaa wakifanya usafi wa maeneo mbali mbali kwenye wilaya ya HAi fuatilia link hii: matukio-michuzi: Mh Mbowe azindua taasisi ya Kusimamia Mpango wa Maendeleo ya Wilaya ya Hai ( HAKIDI)
  14. Ntumami

    This is how Mwanza celebrated 50 yrs of independence

    Baadhi ya mitaa barabara hazikupitika kwa masaa kadhaa!!
  15. Ntumami

    This is how Mwanza celebrated 50 yrs of independence

    On siku ya uhuru it was full mvua na mafuriko baadhi ya maeneo kwa Jiji kama hivi!! hizi ni baadhi tu, tumethubutu,......... malizia
Back
Top Bottom