Kiufupi. Akili za wanachi wa nchi husika ndizo. Zinazo. Iweka. Nchi katika nafasi. Flani. Duniani kwa vitendo vyao uzalendo. Ata maendeleo. Nadhani kama watanzania moja ya hatua kubwa tulio piga ni kwenda kuagiza mizigo. China. Tuji pongeze. Kwa hilo.
Tuna mpa faida mchina. Pia. Nasi tuna pata...
Kwa hyo. Kwa sababu cjui kuandika kiswahili. Ndo tanzania nzima atu takiwi kujenga sgr. Pointi yako zaifu sana. Sanaaaa yani. Na hizi ndo asilimia 98.5. Za akili za watanzania wote amna wanacho jua zaidi ya kuchambana mi na iq ndogo. Ila wew. Ila wew ni retarded kabisa
Watu wa jamii forum. Sisi. Tulio na low. Iq. Naaamin. wengi wetu n
Wakeleketwa na waongeaji sana na siku zote watu wano ongea sana huwa sifuri katika vitendo. Tubadilishe jambo hilo. Tuwe watu wa vitendo na si maneno bila. Vitendo. Nani yupo tayari. Kama auna hoja yenye nguvu usi comment
nki pita kariakoo kwa akili zangu. ndogo nkaona. watu wame jaza mzigo. maduka makubwa. cja wahi taman huwa na muwaza mchina tu jinsi alivyo piga faida mi. Cyo. Msomi naomba wasomi. Mnipe. Mwongo.
Hivi inakuwaje watu ni ma engineer, Wamesoma, wamepewa na degree; wengine wana PhD. Halafu miradi mikubwa yote yenye fedha ndefu wanapewa wachina, ina maana anachofundishwa darasani hawaelewi au wanafundishwa upumbavu....? Mkitumia point ya mtaji kwani anayetunga hizo sheria za mtaji ni nani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.