Ushauri wa kuchukua mkopo toka benki yoyote upo sawa.ila kabla ya kufanya hivyo tengeneza mchanganuo wa kibiashara yaani business plan,ukiweka uwiano wa mapato yako ya sasa(mtiririko wa fedha-cash inlows),na matumizi yaani,gharama za ujenzi wa nyumba hiyo,riba ya mkopo (interest expenses) na...
Please note that it is not the duty of the minister to prepare budget.budget is prepared at lower level of every department,and thereafter consolidated at national level.the cordinator of the whole budget is the ministry of finance and planning,where there are commissioners of national budget...
Tunamtakia heri na mafanikio ceo mpya wa nmb.taasisi za bank za afrika zinachangamoto mbalimbali, hasa uhaba wa rasili mali mitaji na uwekezaji mdogo wa mitaji hasa katika viwanda na kilimo. Pamoja na faida ipatayo nmb, mishahara ya watumishi,hupitia tu benki na wenye yao huichukua kwenda kutumia.
ALSO WE SHOULD NOTE THAT NOT ALL INFLATIONS AND/OR INCREASE IN PRICES ARE BAD.SOME HAS ADVANTAGE OF CHECKING ECONOMIC GROWTH AND MONEY IN CIRCULATION.ALSO SOME INFLATION STIMULATES PRODUCTIVITY OF GOODS AND SERVICES.INFLATION CAN ALSO BE TEMPORAL eg ONE MONTH,OR TWO MONTHS,THEREAFTER OTHER...
Just to introduce myself to other members of jamii forum.i am a new member, namely kenneth hilmar luoga nsumuka.i am interested in business,finance and economic matters.thanx
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.