Recent content by nox1

  1. N

    Ndugu zangu Chadema hata ikitokea mbingu zimeagiza muunde serikali nyie hamtoweza kwani hamna hata mbunge mmoja, sijui kwanini mlisusia uchaguzi

    Ninachoamini mimi ni kuwa kila kilichoundwa/ zaliwa eventually hufa! ANC walikuwa wanaongea hivyohivyo sasa hivi wako ICU wanaongezewa oxygen. CCM, Frelimo, Swapo and the like are not unique. Muda ni hakimu
  2. N

    Kwamba mwaka mmoja umekamilika bila ya kufahamu ni nani alie sababisha kuuwawa watu mia tano ndani ya siku tatu

    Kuna kitu watu wanasahau kuwa wahaini 700 walishakamatwa mara baada ya vurugu na wakapelekwa mahakani akiwemo Niffer. Raisi aliwasamehe wahaini wote. Kinachotaakiwa sasa ni National healing. Hata sijui akina jaji Lila wanatafuta watu gani tena wakati wahaini wote walishasamehewa. Zaidi raisi...
  3. N

    Ni nani aliyemshauri Samia kufanya safari za ndege DSM kwenda Urusi? Huyo mtu kama yupo, afukuzwe Kazi!

    Uki read between the lines unatambua kulikuwa na malicious plan na sio safari za kawaida za abiria Bali usafirishaji wa ....
  4. N

    Watanzania wafika ubalozi wa Marekani kumshitaki Mange Kimambi

    What a movie -Muache kumshitaki Recho Dangwa,mmshitaki Mange kwa udhalilishaji?
  5. N

    Vurugu zinazofanyika Ufaransa ni kubwa zaidi ya zile za Oktoba 29 mwaka jana lakini sijaona Polisi wakipiga watu risasi. Hapa nchini kwetu kuna tatizo

    Watu wakichoma majengo wakati wa maandamano stahiki yao ni kifo? Au unataka kuhalalisha nini hapa?
  6. N

    Vurugu zinazofanyika Ufaransa ni kubwa zaidi ya zile za Oktoba 29 mwaka jana lakini sijaona Polisi wakipiga watu risasi. Hapa nchini kwetu kuna tatizo

    Nina Shaka na uwezo wako wa kufikiri. Watu wanafanya comparison ya crowd control measures kati ya nchi zinazojielewa na zinazothamini maisha na uhai wa raia wake VS Tanganyika wewe unaleta biashara ya uchawa .
  7. N

    Wakili Maduhu ahoji Makonda kuwa Mlezi Mkoa wa Mwanza 'Cheo cha mlezi wa mkoa kipo kwa mujibu wa sheria ipi na ibara gani ya katiba?

    Hii ni uthibitisho wa kufail kwa serikali. Kama pamoja na mkoa kuwa na viongozi lukuki wanaolipwa kupitia kodi za wananchi wanashindwa kutekeleza majukumu yao mpaka wawekewe mlezi wa mkoa! What a nonsense? Over and above that - huyo waziri anawezaje kuteleza majukumu yake kikamilifu kama waziri...
  8. N

    Vurugu zinazofanyika Ufaransa ni kubwa zaidi ya zile za Oktoba 29 mwaka jana lakini sijaona Polisi wakipiga watu risasi. Hapa nchini kwetu kuna tatizo

    Hizo vurugu za ufaransa wewe huzioni, majengo yamechomwa moto? Au TV unaangalia kwa jirani?
  9. N

    Kihongosi: CCM Haitishwi na ninadhibitisha hapa chama hiki hakitatoka madarakani

    "CCM iko tayari kushindana kwenye sanduku la kura" ? So, kwa maana nyingine ni kuwa anakubali kuwa CCM haijawahi kukubali kushindana kwenye sanduku la kura hapo awali! Interesting!
  10. N

    Oktoba 29 imetuonyesha namna Uraia pacha unavyohitaji mjadala zaidi

    Shughulisha akili yako, mimi siko hapa kuku- spoon feed mtu mzima kama wewe.
  11. N

    Oktoba 29 imetuonyesha namna Uraia pacha unavyohitaji mjadala zaidi

    Unauhakika aliemuua Kennedy hajulikani ? Au wewe ndio humfahamu?
  12. N

    Oktoba 29 imetuonyesha namna Uraia pacha unavyohitaji mjadala zaidi

    All I can say uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana. Bora ukajikita kuchangia mijadala ya level yako.
Back
Top Bottom