Binafsi sipendi Kila kinachofanyika kiitwe majina ya viongozi. Kama kiongozi wa nchi tunaweza kuteua kitu kimoja kikubwa either uwanja wa mpira au kitu kingine lakini kimoja ndio kiitwe jina lake lakini haya mambo ya stend, magufuli, station za train magufuli, mji wa kiserikali magufuli, shule...
Mimi natamani azabu ibadikike kutokana na Hali ya tukio na umri. Mfano azabu ya kubaka Kwa makubaliano kati ya under 18 na mwanaume iwe tofauti na ubakaji wa kutumia nguvu
2. Umri. Kadri umri wa mwanaume unavyokuwa mkubwa na adhabu iwe kubwa. Mfano kijana wa miaka 19 adhabu yake iwe tofauti na...
Wananchi wenyewe wako wapi wanaodai katiba mpya. Au ndio hawahawa waliopo sambamba na arobainin ya mtoto wa zuchu, 30 ya bongo fleva? As long as Dar jiji kubwa unaweza kupata msosi wa buku mbili na ukashiba sahau katiba mpya
Hakika. Hata mahakamani unaona kabisa Ile discipline Kwa ajili ya majaji haipo. Unaweza kuwa na Hali kabisa lakini zile kebehi wakiwa mahakamani atajikuta kesi inaishia mahakama ya rufani(rufaa)
Siku zote ukitaka kuua hakikisha unawachonganisha wagombane wenyewe Kwa wenyewe. Hata Lisu kutoa zile kauli za kukinukisha ilikuwa ni kosa kubwa sana hata kama ilikuwa sio Nia kamili lazima wajuwe kuwa wawe makini sana na nini wanaongea maana ni watu wanaowindwa sana wakosee hata Kwa maneno.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.