Recent content by NorthFace

  1. N

    Godbless Charles: Kwa nini DPP hakumshitaki Tundu Lissu kwa uchochezi tangu mwanzo? maswali mazito baada ya hukumu ya uhaini

    Lissu alipokamatwa alipepekwa Kisutu. Alifunguliwa mashtaka mawili. 1. SHTAKA la Uhaini 2 Shtaka la Uchochezi (Hili shtaka alipewa dhamana pale Kisutu) lakini kwakua alikuwa na kesi ya uhaini (hakurud uraiani) na hili shtaka lilishawahi kusikilizwa ndo maana alipewa dhamana. Lilisimama kwa...
  2. N

    Media, Secretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Isinyamazie Kauli Hatarishi za Viongozi Kuhusu October 29, Je Zikemewe? Wakemewe? au Waachwe Tuu?

    Kuhusu maadili,nakataa. Na sekretarieti haina meno. Juzi tumemsikia Prof Assad, hata utendaji wake upo manually...
  3. N

    Makonda alipopigwa Ban Magufuli alimtumbua, Samia akamrudisha, Je atamtumbua Mafwele au atamteua awe IGP.

    Magufuli hakumtumba Bashite.....isipokuwa mwenyewe alienda kuwania Ubunge ng'ambu ya mji
  4. N

    PostGE2025 Askofu Rweyongeza: Ripoti ya Chande imepikwa na watu wasiojua Hesabu

    Lini CCM ilitumia watu wenye akili? (VIJANA WENYE AKILI?)😁
Back
Top Bottom