Recent content by norbit

  1. norbit

    Ile kauli ya Lissu, ilikuwa halali mbele ya mahakama?

    Alikuwa sahhihi sana, Lissu ni mwanasheria nguli na lijua kama hatoboi ameshakutwa na hatia, ile ilikuwa act of desperation. Reckless behavior ni kawaida kwa criminal anapojikuta he has runing out of any other options then he feel tohave nothing left to lose
  2. norbit

    Ulofa wa Jaji Ndunguru Huu Hapa: “Haiwezekani Lissu Akavuruga Uchaguzi kwa Njia za Amani”

    Tokea tupate uhuru hii mahakama haijawahi kuvaa nguo na inajijua kama inatembea uchi😂😂😂
  3. norbit

    WITO: Watanganyika Tusikubali Kumpoteza Humphrey Polepole, LAZIMA TULIPE KISASI

    Itakuwa amejificha ndani ya vee eytee, anakuchora na makasiriko yako
  4. norbit

    Jumuiya ya Madola yaendelea kuibana Tanzania yataka hatua zaidi

    Sikulaumu; uwezo wa kufikiri kwa kina haupo upande wako. Huenda wajukuu zako wakaelewa ninachosema—iwapo watapata malezi na lishe bora ya kiakili.
  5. norbit

    Jumuiya ya Madola yaendelea kuibana Tanzania yataka hatua zaidi

    Sasa ni wakati muafaka wa Tanzania kujiondoa katika umoja wa jumuiya ya madola (British Commonwealth), sio sifa na nikujizalilisha kukubali kujiweka kwenye kundi la waliatawaliwa na mkaweka muda wa kukutana aliewatawala na kusikiliza matakwa yake, Jamhuri ya Ireland iliondoka katika Jumuiya ya...
  6. norbit

    Kwanini wanajiuzulu? Philip Mpango, Kinana, Job Ndugai, Emmanuel Nchimbi

    Swali: Kwanini wanajiuzulu? Philip Mpango, Kinana, Job Ndugai, Emmanuel Nchimbi Jawabu: Hawaendani na speed ya mama. Umaana wa speed anzisha uzi wako.
  7. norbit

    Kwanini wanajiuzulu? Philip Mpango, Kinana, Job Ndugai, Emmanuel Nchimbi

    Nipo akhrea hapa nakusubiri wewe mwerevu😂😂😂
  8. norbit

    Nani kumrithi E. NCHIMBI?

    Makonda
  9. norbit

    Kwanini wanajiuzulu? Philip Mpango, Kinana, Job Ndugai, Emmanuel Nchimbi

    Wamechoka, hawawezi kwenda na kasi ya mama
  10. norbit

    Kuweni Makini na Madeleka

    Ukikubali kujikomboa katika utumwa wa akili na ukaafiki kusikia ukweli basi utaelewa kama Madeleka ni mwenzetu tena mwenzetu sana.
  11. norbit

    Mwigulu: Maveterani wa Vita vya Kagera kuanza kulipwa Pensheni zao

    CCM bhana!!, baadae watakwambia waliogmbania uhuru wote waende kujisajili ili waanze kulipwa viinua mgongo vyao :AYOOO::AYOOO:
  12. norbit

    Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

    Kuna tiba yoyote ya VITILIGO ?
  13. norbit

    Ikigundulika Freeman Mbowe ndio yupo nyuma ya kesi zote na maovu yote dhidi ya CHADEMA itakuaje?

    Ifike mda mjifunze mlipokosea. mnaongea sana bila vitendo kumbebesha mtu mwengine lawama na kutojifunza ulipokosea haufiki popote. Kumbuka nsi
  14. norbit

    Kuhusu nafasi ya urais wa Tanzania 2030-2040 tayari CCM tunae kiongozi

    Weeeh, Ni Mama Sa100 mitano tena ya kuchaguliwa👌
Back
Top Bottom