hapa sasa ndo tutaona ukweli wa ccm kwamba wanaendeshwa na mafisadi....ccm watajiharibia sana kumpa chenge kikwete kuwa makini vitu kama hivi ndo vinahangusha chama chenu....kuweni na busara kumchagua spika chenge kujua kwake katiba isiwe ni kigezo cha kumpa nafisi ana do na atatia doa chama hii...
this is not fair jamani hw can they let this thing happen i wishi sometym we were in keny no one will tolarate this shiiiiiiiiiiiiiiit....bora apewe mrema kuliko uyu mtu ni fisadi majigambo muuaji his all over the shady bizness:A S angry:
hawa wala awajapewa hela yyote ni kujipendekeza karibu na viongozi ili wapewe hata elf kumi ya bia nani amuonge mjinga hela hata mia awapati ni umbumbumbu wao maskini tu wale awana hata kitu cha maana nashaangaa kwa nini mna wadiscuss washenzi hawa...we have so many things to worry about nt...
uyu jamaa anaweza kuwa fisadi ila anawajali watu wako kaleta maendeleo sana monduli ndoo maana wamasai wamamfeel....na ndo maana ya ubunge au siyo jamani...anaekujali ndo unaempa aijalishi kapata wapi hela
ni walafi wa madaraka sadam husein yuko wapi? mungu ajalala jamai yupo macho kama kweli wanataka kuiba waacheni malipo ni hapa hapa dawa mungu anawaandalia
aache hayo mambo akubali kushindwa kwani walizaliwa na madaraka....afu nasikia kilango wetu chini daaaa hii imeniuma she was among the best kwa chama cha looser
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.