Recent content by NOKIALUMIA

  1. N

    HELBS OLAMS HAIFUNGUKI NIFANYEJE

    Jaman nimekutana na changamoto hio mfumo una load tangu asubhi
  2. N

    Kampuni ya betika ni halali kweli au matapeli?

    Baada ya kulalamika betika wamenilipa
  3. N

    Kampuni ya betika ni halali kweli au matapeli?

    Ahsante mkuu tukutane kwa wakala [emoji2][emoji16][emoji2][emoji2] Kesho Sijui nikuambie ukweli [emoji16][emoji16] Betting ni mbaya na nzuri pia
  4. N

    Kampuni ya betika ni halali kweli au matapeli?

    Ni kweli bhna kamali ni dhambi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Hio ni account yangu ya sport pesa
  5. N

    Kampuni ya betika ni halali kweli au matapeli?

    Ndugu zangu, hasa wale wanacheza michezo ya kubahatisha, kampuni hii ya Betika ni matapeli lakini Bodi ya Bahati Nasibu bado ina wacheki tu. 1. Kampuni inaruhusu kudeposit tu! Hata milioni we deposit ila kutoa hela hairuhusu hata siku moja. 2. Hairuhusu withdraw yoyote ile hivyo ukiweka fedha...
  6. N

    Uwezekano wa kubambikiziwa kesi

    Je unaweza kuwashtak askari walikubambikizia kesi. Kwa makusudi.?
  7. N

    Je, nikimuacha nitakuwa nakosea?

    Uchoyo Uchoyo hapo hujaolewa
  8. N

    Umewahi fanya tendo la ndoa na watu zaidi ya watatu? Hiki ndicho kinakuotea

    Kwa hiyo? Nchi NZIMA tutumie akili yako [emoji23][emoji23]
  9. N

    Rais Samia, Tanzania ni moja na hakuna mpasuko wowote. Tupo wamoja sana

    Hii nyuzi kaandika mtu mwenye IQ ndogo saana
  10. N

    Matumizi ya kondomu na maudhi yake

    Hadi 15000 zipo tatu
  11. N

    Nimepata uvimbe sehemu ya haja kubwa. Napata maumivu makali nikitembea

    Pole sana. Ugonjwa huu ni wa kawaida sana,(bawasiri) huo uvimbe unaouona ni kujaaa kwa damu kwenye mishipa iliyolegea.. Njia moja ya matibabu ni hizo dawa ulizopewa zina julikana kama hemorrhoids suppositories. Nadhani ulielekezwa at least kila siku ukae kwenye maji ya vuguvgu kwenye dish walau...
Back
Top Bottom