Recent content by No SQL

  1. No SQL

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Waliokaa na kupiga hesabu za mshahara, wapewe noble prize yao aisee.. Kadri mshahara unavyoongezeka, ndivyo matumizi yanaongezeka
  2. No SQL

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Imefunguka mida hii nimecheki...makato tayari
  3. No SQL

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Kwa familia zetu hizi za kiTZ....pesa ikiingia tu, matatizo yanaanzq..kuitunza inakuwa ngumu sana
  4. No SQL

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Somo gumu sana hilo....
  5. No SQL

    🔊 T8ii SPEAKER

    Mkuu, japo kila mtu na bei yake, lakini naona wengine wanaziuza 185k-190k..unaweza kupunguza nawe ili uuze fasta
  6. No SQL

    Mnao ishi mabondeni na vichochoroni kuweni makini pia

    Eeeh...na ni asilimia kubwa
  7. No SQL

    Mnao ishi mabondeni na vichochoroni kuweni makini pia

    Kilingana na maisha yetu waTz wengi..kuhifadhi chakula ni ngumu sana...unakumbuka kipind cha Corona?
  8. No SQL

    Rais Magufuli amteua Deo Ndejembi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa

    Nadhan mnajionea wenyewe...
  9. No SQL

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    CRDB wamenilipa saa tano usiku...duh
  10. No SQL

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Aaah CRDB inaingia kwa mafungu
  11. No SQL

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    CRDB bado sijapata
  12. No SQL

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Ivutie subira tu..haiwez kugoma hyo ni moja ya huduma inayoingiza pesa nyingi
Back
Top Bottom