Umri wako Tafadhali! Je, umeoa au hujaoa? Na kama umeoa, ni ndoa changa less than 5 years? Ndugu yangu, mke ni mwenza si Kijakazi. Hata kama ni housewife, ujue kuwa aliitafuta ndoa ili naye a enjoy maisha si kuwa housemaid.
Ninayeyasema haya ni kuwa tangu nioe, litangaza kuwa sitafua, sitakosha...
RRONDO nadhani chimbuko la haya yote ni tabia iliyojengeka kwa vijana wengi kutangulia mbele ya mwenzako. Hata kwa waendeshao magari, foleni za mjini zinatokana na kila mtu kutaka kumtangulia mwenzake, kutomruhusu mwingine mpaka aje traffic. Foleni kidogo BARABARA inajaa magari ya upande mmoja...
Tatizo ni kutojua kimo chako. Oa mwanamke unayemmudu. Ila unaweza kuoa aliye na ukwasi zaidi yako ila ni muhimu kutumia akili.
Nakumbuka kijana wangu alitaka kukataa kuoa kwa vile binti alikuwa na uwezo zaidi yake. Nilimpa somo Kali ya jinsi ya kummiliki na utajiri wake ukawa ni fursa kwake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.