Nimesoma maandiko yote ya wachambuzi na kugundua kuwa Bw.Rostam ni kidonda Ndugu hivyo wote wenye kuipenda Tanzania waelekeze mashambulizi yanayostahili kwa huyu Bwana ambaye ndipo mahali uchafu na uozo ulipo stawi,kwanza huyu jamaa ni nani serikalini? na huyu jamaa ni nani kwenye baadhi ya...
Kada huwa una kazi nyingine ya kufanya ama upo ni mwajiriwa wa hapa jf?
Nauliza maana kila wakati mchana na usiku huwa uko hapa ama mko wengi lakini mna mawazo yanayofanana?
Hata week end jamani?sijui wewe ni mkaka ama ni mdada ,naomba kuuliza usinielewe vibaya, mimi ni mwandishi wa habari.
Ni kweli na nimeongea na zitto leo wakati akiwa kwenye kongamano na wanafunzi wa vyuo vikuu pale DDC aliweza kutudokeza waandishi tuliokuwa pale na hakika kwa maelezo yake na kama igizo fulani .
Hii inatokana na dereva wake jana usiku kuchelewa sana kuondoka kutokana na vikao vya zitto hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.