Huyu Loveness George Semkiwa Malinzi ana matatizo sio bure, yaani mwanaume kamkonyeza tu yeye kelele kibao je angetongozwa ingekuwaje? Inaonekana anatumia kipindi chake kutongoza wanaume ati? akiwakalia vibaya na sauti yake akiibana basi wanaume wanapagawa kwake raha tele. Kwa uzoefu wangu...
CHADEMA IS STILL THE POISON I CHOOSE!
Nimeichomoa hii toka blogu moja :
No One Left Behind-Tanzania: CHADEMA IS STILL THE POISON I CHOOSE!
When I think of Uhuru, I remember Nyerere, not TANU. I remember his personal attributes rather than his partys ideologies. Parties are made up of...
Mtoa mada hii ana upendeleo fulani at "Eti Wazungu- nyie dada zetu chondeni..." ina maana gani hii sentensi? Tatizo ni nini hapo ambalo linahitaji utatuzi? Kuwa na mahusiano au hata kuoana na Mzungu kuna kosa? na ikiwa na mtu mwenye utaifa mwingine je?
Nadhani mapenzi hayachagui isipokuwa...
Mtoa mada hii ana upendeleo fulani at "Eti Wazungu- nyie dada zetu chondeni..." ina maana gani hii sentensi? Tatizo ni nini hapo ambalo linahitaji utatuzi? Kuwa na mahusiano au hata kuoana na Mzungu kuna kosa? na ikiwa na mtu mwenye utaifa mwingine je?
Nadhani mapenzi hayachagui isipokuwa kuna...
This is ridiculous! Is this one of Tanzanians priority or what? who authorize big purchases like these and for whose interest? Is it necessary for a Republic of Tanzania to purchase East Side building for $24.5M? We need mapinduzi halisi now kupindua mipango kama hii na kuwekeza katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.