Recent content by nikkjems

  1. nikkjems

    KERO VETA Mbeya utolewaji wa vyeti Short Course Udereva unachelewa sana

    Aiseee kabisaa mkuu naona kona kona zote hizi lazim turefushe mkono
  2. nikkjems

    KERO VETA Mbeya utolewaji wa vyeti Short Course Udereva unachelewa sana

    VETA Mbeya utolewaji wa vyeti Short Course Udereva unachelewa sana unaweza kusubiri mpaka miezi miwili, ukienda wanakwambia bado au unakuta vimetoka nusu ukiuliza vingine wanasema huku peleka Namba ya NIDA, ukiwapa Namba ya NIDA, wanasema usubiri tena siku 30 hii siyo sawa kabisa kwa mtu mwenye...
  3. nikkjems

    Mechatronics Engineering

    Sawa mkuu asante
  4. nikkjems

    Mechatronics Engineering

    Asante nashukuru
  5. nikkjems

    Mechatronics Engineering

    Nataka nikasome lakn kuanzia certificate pale donbosco dodoma
  6. nikkjems

    Mechatronics Engineering

    Nipeni uzi wanaojua kuhusu kozi ya mechatronics
  7. nikkjems

    Odd za kibabe

    Vp hapo wandewa Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
  8. nikkjems

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimemuua Chelsea nimempa man City na Real Madrid vip hapo wandewa
  9. nikkjems

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daah sema ulijitoa 100k[emoji15]
  10. nikkjems

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dah kweli hakuna ku give up
  11. nikkjems

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kanikosesha kibunda jana[emoji39]
  12. nikkjems

    Msaada kuhusu kozi ya architecture

    Yeah vipi kwenye ajira unaweza pia kujiajiri kwa mtu aliyesoma hiyo kozi
  13. nikkjems

    Msaada kuhusu kozi ya architecture

    Wana JF naombeni mnasaidie kuhusu kozi ya architecture inahusu nini? Na ukisoma kozi hiyo unaweza kufanya kazi sehem gani?
Back
Top Bottom