Recent content by NICOD2002

  1. N

    Kwa hili alilofanya Maulid Kitenge naiomba TFF ichukue hatua kali haraka kwa Maulid Kitenge na EFM

    Tafuta ela acha maisha ya watu........ Sent from my SM-A9200 using JamiiForums mobile app
  2. N

    Unamshauri nini kijana asiye na ajira ambaye yupo tu mtaani?

    Aaachane na ajira atafute kazi....... Sent from my SM-A9200 using JamiiForums mobile app
  3. N

    Ukame wa sasa ni Matokeo ya Ukataji Miti Mil 2.7 ya Selous

    Mpaka ulaya kumekuwa na ukame mwaka huu. Nao pia ni huo msitu? Sent from my SM-A9200 using JamiiForums mobile app
  4. N

    Iran kunazidi kufuka moshi, kamanda adungwa kisu na kufa kwenye maandamano

    Ghafla Wairan sasa sio waarabu tena......[emoji3]
  5. N

    Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

    Nipanda Fikoshi dodoma kwenda Musoma kumbe wahuni wanatufaulishia Mwanza. Niliwamind kinoma.......basi bayaaaaaaaaaa..........[emoji35]
  6. N

    Tatizo la Kujisikia Vibaya Safarini

    Kukusaidia kutoka kwa namna nilivyojisaidia mimi. Kula kabla ya safari. Usisafiri on empty stomach hiyo hali itaisha kbs.......pole.
  7. N

    Malkia Elizabeth kalala kuzimu. Je, karma itachukua mkondo wake?

    Makasiriko ya ugumu wa maisha mpaka unampangia Mungu pa kumuweka mtu kweli. Na wewe pambana ukaitawale Uingereza nani alikunyima........
  8. N

    Airtel rekebisheni haraka hii changamoto ya vifurushi vya SMS

    Hama mtandao mkuu usijipe pressure bure......hawatafanya lolote........
  9. N

    DOKEZO TRA, kodi za kuingiza Magari ni kichefuchefu kwa Wananchi

    Nilinunua gari 13m kutoka japan 2019. Ushuru wa hapa pamoja na usajili nikalipa 17m....[emoji57]
  10. N

    Nachukia sana kuona wahindi na waarabu wanakaa Upanga wazawa tunalala Mbagala

    State of mind my friend. Unavyoona nafsini mwako ndivyo ulivyo.........
  11. N

    SoC02 Hospitali za Rufaa kuwaachia majukumu yote ya kitabibu wanafunzi wa udaktari pasipo usimamizi wa kutosha - chanzo cha vifo vingi

    Nyie nyie juzi ndo mlisema wasipewe call allowance.....! Leo mnasema ni wavivu......
  12. N

    Freeman Mbowe anatutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga?

    Ujinga sio tusi.......ni sifa....
  13. N

    Kuna ukweli wowote kati ya kuwahi kuamka na kupata mafanikio

    Inawezekana kuwahi kuamka kumesababishwa na utajiri na wala sio kwamba kuamka mapema kunaleta utajiri.....
Back
Top Bottom