Recent content by Nicas saguda

  1. N

    Infertility /ugumba

    sagudanicas@gmail.com
  2. N

    Infertility /ugumba

    Kupima nn mkuu +255652580204 WHASAP only +265988476210 local calls
  3. N

    Infertility /ugumba

    Combined oral contraceptives
  4. N

    Infertility /ugumba

    Kama Ana umri huo yeye angeweza kupata milion 6 angeweza kusaidiwa
  5. N

    Infertility /ugumba

    Ana umri gani ,
  6. N

    Infertility /ugumba

    Gharama sio hizo Kama unazosikia anaweza pia akahudumiwa hata kwa bei rahis zaidi lakin Je unauhakika kwamba njia nyingine zote zimeshindikana?!!!
  7. N

    Infertility /ugumba

    Itategemea na hospitali ila nikati ya 30 mpaka 50 elf , na kuna utaratibu unapewa usikutane Na mwanamke siku tano kabla yakutoa hizo mbegu Na kuna mda tunakupatia sex toy
  8. N

    Infertility /ugumba

    Itategemea ni hospital gani unakwenda lakin kwetu sisi tunapima vipimo vingine hapo ni elf 30 kila kimoja ispokuwa tu sukari elf 3 na HSG laki moja
  9. N

    Infertility /ugumba

    Sasa mpaka hapo unaweza mwenyewe tu ukajisomea sasa sio tena nianze kufundisha basic science kabisa hapa Hapana elewa hivyo Kama unadout get your book read
  10. N

    Infertility /ugumba

    Mtoto huyo anapamdikizwa kwa kumuwekea mwanamke mwingine ambaye anakuwa amejitolea kufanya hivyo lakin baada yakujigungua hatumruhusu kumpa mtoto huyo mwanamke aliyebeba hiyo mimba na hata kumuona mtoto hatumruhusu
  11. N

    Infertility /ugumba

    Azzyzy Omary Njia pekee yakujua kuwa wewe ni mgumba nipale utakaposhiriki tendo la ndoa bila kinga kwa mda wa mwaka mzima bila kushika mimba
  12. N

    Infertility /ugumba

    Cervical cancer screening is done to every woman attained 25yrs to 50yrs
  13. N

    Infertility /ugumba

    Kwa mwanamke ambaye anashindwa kupata ujauzito na amepimwa ultrasound akaonekana yuko salama apime vipimo vifuatavyo 1. prolactin hormone 2. thyroid stimulating hormone (T4) 3. sukari 4. HSG 5. Sperm analysis mumewe Kwa mwanamke anayeshindwa kupata ujauzito moja ya sababu zinazopelekea...
  14. N

    Mchepuko analazimisha nikalale kwake au atatembea na rafiki yangu

    Kama nimwanamke na unapata siku zako vizuri lakini haushiki mimba na umefanya ultrasound ikasema uko vizuri . Kapime vipimo vifuatavyo 1. Prolactin hormone 2.thyroid hormone(T4) 3.sukari 4. HSG 5. Sperm analysis Ndio vipimo pekee kwa mama anayetafuta mtoto
Back
Top Bottom