Recent content by ngwanduu

  1. N

    Mazungumzo ya Mfanyabiashara Rostam Aziz aliyoyafanya na UTV

    Anatema cheche ,hongera sana Rostam unaongea kwa fact ,wewe nimzalendo
  2. N

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Hongera sana serekali ya mama samia kwa maendeleo makubwa katika jimbo la same mashariki ,Umetujengea vituo vya Afya kila kata hakika mama umetuheshimisha. Umeweza kusambaza umeme kwenye kila kijiji mfano ni vijiji vya lugulu ,kanza ,vumba,vilivyopo kata ya lugulu vimeshaunganishiwa umeme...
  3. N

    Kweli Samia kajitahidi sana

    Kwakweli mama amejitahid xana kupeleka huduma karib na wananchi mfamo kijijini kwa bibi angu umeme umefika ,watu wanaona kama ndoto ,hongr xana mama
  4. N

    GE2025 Upigaji kura wa leo CCM haukuwa wa wazi, ilikuwa maigizo

    Upigaji wa kura ulikua wawazi kabisa
  5. N

    GE2025 Hongera nyingi kwa Mwenyekiti wa CCM na Rais Wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassani

    Nakuhakikishia ccm itapata ushidi wa kishindo..
  6. N

    GE2025 Hongera nyingi kwa Mwenyekiti wa CCM na Rais Wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassani

    Hongera sana Raisi na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema CCM itajitahidi kuingiza vijana wengi kuwania nafasi za Ubunge na Udiwani katika Uchaguzi Mkuu 2025. Mwenyekiti Dkt. Samia amesema hayo leo tarehe 26 Julai...
  7. N

    GE2025 Tanzania inaenda kushuhudia mabadiliko makubwa ya kisiasa soon

    Hakuna wakumtoa Rais samia, usisahau yeye ndie Amiri jeshi mkuu
  8. N

    DOKEZO Viongozi mko wapi? Watoto wetu wanapigwa kama ng'ombe shule ya Sekondari Ibungiro

    Bibia inasema usimnyime mtt fimbo ,jp hazitakiw kuzidi
  9. N

    Mnaodhani Rais Samia ataikomboa na kuleta maendeleo basi mnajidanganya mtakuja kuniprove siku moja

    Mama yupo vizuri sana,amejenga madarasa mengi sana na yakisasa,miundombinu kama barabara amejitahidi sana,mfano kuna barabara jimboni kwetu tangu enzi za mkapa niahadi tu ila mama katukumbuka barabara inapigwa lami ,kuanzia mkomazi hadi same kupitia ndungu gonja kisiwani.Wakulima tumeuza...
Back
Top Bottom