Ukiangalia kirahisi unaweza kufikiri wana akili ndogo, lakini wanachokifanya ni namna ya kujitanua. Ujasiri walio nao hata hawa wengine tunaowaona wana akili kubwa hawawezi kufanya. Sasa baada ya muda tutagundua siyo akili ndogo ni akili kubwa kwa sababu baadhi ya bidhaa wanauza bila risiti au...
Kuna nchi zimepata uhuru miaka ya 1980s lakini hazijanufaika na uchelewaji wa kupata uhuru. Maendeleo ya nchi yanahitaji vitu vingi siyo tarehe tu ya kupata uhuru.
Serikali inasomesha Wataalam, wanapata ujunzi na hata kuanzisha kampuni za ujenzi lakini Serikali inaona gharama kuwatumia au kuwapa kazi. Fani za Wataalam hao inaelekea si kwa mahitaji ya Fedha za Serikali labda Wanasomeshwa kwa mahitaji ya Sekta Binafsi na nje ya nchi. Inafika mahali fundi wa...
Diamond kachochea moto nini? Post zake za hivi karibuni zinashawishi watu wanaoenda nje ya maadili kuwekewa utaratibu wa kuwafunga gavana, vinginevyo nchi itakuwa kama shamba la wanyama.
Kundi la CHADEMA ni hatari sana hivi sasa, kuna watu wa visasi wamehamia huko, tofauti na zamani, ukicheza wanakuumiza halafu wanasingizia ni CCM. Inaweza kuchukua muda hili kueleweka vizuri, maana watu tumezoea ule wimbo wa zamani wa kila kitu CCM, hata ile orodha ya Mwembe Yanga si yote bado...
Kuna mwenye ushahidi kwamba hakutumia rasilimali?, mbona amelalamika wakati wa kujivua uanachama CDM, huenda kulikuwa na makubaliano kati yake na viongozi waandamizi yameshindwa kutekelezwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.