Recent content by ngunde11

  1. ngunde11

    Kama kweli hizo video za "connection" za wanafunzi ni "spinning" zimelenga kuhamisha mjadala, wahusika wanaua Taifa

    Sijasoma ila nataka kukwambia tu hili taifa la tanganyika lilikwisha kufa siku nyingi sana sisi wote hapa ni misukule hata hatujui tunachokifanya Fikiria mafuta yanapanda bei kila uchwao ila sisi tupo kimya kabisa Watu wanatekwa na kupotezwa kila siku ila misukule ipo kimya Mauaji ya 29 october...
  2. ngunde11

    Nani aliwaruhusu CHADEMA kutumia mazishi ya Alute kama uwanja wa kisiasa?

    Big fool aka big choo yaani kinyesi kwenye moja na mbili
  3. ngunde11

    Hukumu ya Tundu Lissu iliandikwa Nje ya Mahakama na Maofisa Wawili wa serikali Majina yao kuwekwa hadharani

    Sijawahi kufikiria hii dhambi ila wewe ukiingia kwenye 18 zangu lazima nikufiringe
  4. ngunde11

    Kuna kikao cha siri cha wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama usiku huu

    Zero brain anaenda kuangushiwa gunia la chawa fikiri kwa jinsi yake ni nani anaweza kwenda kumtuhumu bungeni je hoo wabunge wamepata wqpi ujasiri huo, ina maana yeye hakujua hilo ili alizime mapema? Mwisho wake umefika atatolewa uwaziri atashitakiwa na kufungwa na la tarehe 29 atapewa yenye...
  5. ngunde11

    PostGE2025 Matukio ya Oktoba 2025, sihitaji Ripoti ya Jaji yeyote! Niliona kwa macho yangu

    Ni kweli kabisa kuna vitu havikuwa sawa kwenye yale mauaji ukiangalia kwa mfano nguvu iliyotumika Dar Arusha Mwanza Katoro Mbeya Tunduma Geita ni kama zinalingana, kwangu nilitegemea pengine Dar na Mwanza kama majiji pengine kutokana na idadi ya watu basi nilitegemea watu kadhaa kufa lakini...
  6. ngunde11

    Gerson Msigwa :Ataka utafiti ufanyike kubaini kwa nini wananchi wanapoteza imani na vyombo vya Habari

    Ni mjinga mmoja tu anaweza kutaka kufanya utafiti kujua ****** wa nyani wakati anauona mkia wa nyani
  7. ngunde11

    PostGE2025 Tunduma kila nyumba Leo wameomboleza

    Mjinga wewe hivi unajua gaza na israel yote kwa eneo na idadi ya watu hawafiki idadi ya wilaya moja tu ya kinondoni sasa hapa tunaongelea mikoa na wilaya zaidi ya 20 watu waliokufa, na huko gaza mpaka sasa hakuna amri ya kutotoka nje na wala watu hawapigwi risasi hovyo kama mlivyofanya nyinyi...
  8. ngunde11

    Wana bahati hawajajitokeza kufanya vurugu. Wasirudie

    Hongera sana umejipata na endelea kujisifu ila ukae ukijua kuwa mmeacha maumivu makali sana kwa jamii Na kwa kadili siku zinavyopita maumivu yanaongezeka zaidi na zaidi Na mimi nakuhakikishia kikombe hiki ni lazima wewe na hao wenzako mtakinywa
  9. ngunde11

    PostGE2025 Tunduma kila nyumba Leo wameomboleza

    Dah 80% ni idadi kubwa sana ndio maana chande na tume yake ni wakupuuzwa kabisa kwa makadilio ni zaidi ya watu +100,000 walipoteza maisha, Poleni sana wote mliofikwa na dhahama hii kubwa Mungu awape nguvu, nina hakika kila mtu atalipa kutokana na matendo yake na mufa sio mrefu hukumu itapatikana
  10. ngunde11

    PostGE2025 Wazazi zuieni ajali nyingine kwa watoto wenu tarehe 29 Oktoba, 2026

    Tuhakikishia kwanza kwamba wewe na huyo mtoto wako hamtakufa milele nfio na sisi tutafanya maamuzi ya kutoshiriki maandamano, Ulitakiwa ujue kwamba maandamano ni haki ya kikatiba dunia nzima Ulichotakiwa kufanya ni kusafiri kwenda kuwaambia ccm wasiue watu
Back
Top Bottom