Recent content by Ngongo

  1. Ngongo

    Kuna busara gani kujenga jumba la kufa mtu kijijini halafu ukapanga mjini?

    Mimi nimejenga simple lkn ghorofa,kwani kuna shida.
  2. Ngongo

    CHADEMA imewakosea nini Mjenga na Salma Podcast? Kwanini imegeuka jukwaa la kuishambulia CHADEMA?

    Walianza vizuri lkn sasa wamekuwa kama kina Mwijaku.
  3. Ngongo

    The Tundu Lissu Effect: Samia Suluhu aanza kutekeleza matakwa yake kuhusu INEC

    Ni mwanaJF mwenye ushawishi mkubwa,akili nzuri,mwenye maono ya mbaliiiii. Kwakuwa akili yako bado ndogo labda nikupe mfano rahisi wa tassisi kama Jeshi.Platinum member ni kama Lt General.
  4. Ngongo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Bora nusu shari kuliko shari kamili.
  5. Ngongo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wachezaji wamefanikisha mkakati wa kumtimua Carick
  6. Ngongo

    Tabia ipi inonyesha mtu amekulia familia Fukara?

    Kula haraka haraka na kufyonza mifupa. Kutoa mate mengi wakati wa kujieleza.
  7. Ngongo

    Mahakama imemuhukumu Lissu Miaka 4 jela kwa kosa la Uchochezi

    Naona Lissu akikutwa na kosa la kutokuchana nywele. Uhaini no no no.
  8. Ngongo

    Azim Dewji: Wanasimba hawahitaji kujua Hisa wala thamani ya timu yao,wanahitaji furaha ya ushindi tuu.

    Mangungu yupo sahihi tatizo mashabiki wengi hawana shule.
  9. Ngongo

    Azim Dewji: Wanasimba hawahitaji kujua Hisa wala thamani ya timu yao,wanahitaji furaha ya ushindi tuu.

    Hizo hela mbona hatuzioni. Tatizo mitanganyika mnababaikia wahindi na waarabu.
  10. Ngongo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Duh afadhali tulisha dhalilishwa.
  11. Ngongo

    Kwako Muhammed Said, tukumbushe waliowandoa wakoloni Tanganyika

    Mzee Muddy Said ni mpuuzi wa kiwango cha SGR.
Back
Top Bottom