Recent content by ngomax

  1. N

    Mazao gani ambayo haya haribiwi na ngedele na nyani?

    Habari? Nina shamba langu lipo Tanga kando ya mto mkurumuzi , Kunachangamoto ya ngedele kila zao unalo lipanda wana kula na kufanya uharibifu , Je? Nipande zao gani ambalo nitavuna bila shida au njia za kitumia kuthibiti hao ngedele
  2. N

    Aliyekuwa mchezaji wa zamani wa Simba sc Luis Miquissone, atambulishwa rasmi Singida Black Stars

    Mademu wa bongo mna nini? Watu awataki kutulia nchini kwao, bongo rahaaaa,
  3. N

    Angalia Nyumba Hussein Mwinyi kawajengea Wazanzibari, lakini Samia Suluhu kashindwa kuijengea Tanganyika japo Banda la kuku

    Barabara Hadi uchochoroni Rami!!! Pemba imejengwa barabara zile kwa kipato kipi?
  4. N

    Nahitaji haya mazao kwa wingi

    Ofa Yako bei gani? Ni nayo hapa Tanga,
  5. N

    Naomba ABC za mkoa wa Kigoma, nimepangwa ajira mpya huko

    Ukweli Kuna maeneo mazito kufanya maisha, Leo nikiambiwa niludi ule mji naruka futi 200 , Bora nikose hio posho . Kuna watu wachawi jamani tena wanajisifia hadharani.
  6. N

    Katiba Mpya au Chama Kipya? Je, Tunataka Kubadili Mfumo au Viongozi?

    Nchi zilizo endelea kisiasa wanafanyaje kupata tume ya uchaguzi tuangalie hilo tujifunze?
  7. N

    wadada wakisukuma wapambanaji mno.

    Mila na tamaduni umewajenga hivyo , wanawake wa kisukuma kwenye kaya kazi yao ni kutafuta chakula na wanaume wanadili na mifugo tu, Wanalima na kutunza vyakula ,
  8. N

    Bora mji ujae bajaji na si bodaboda.

    Nchi gani Sasa? Tanzania hii au Colombia,
  9. N

    Updates: Mazishi ya Mama na safari yangu

    Tunaomba tutajiwe kiwango Cha mchango ulipata kiasi gani? Ndio tuchange tena
  10. N

    Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

    Jamaa ajakimbia hawezi kushika simu aingie Jf na yupo na majonzi ya kufiwa , ichukuliwe namba pale juu mpigie na uletwe mlejesho hapa watu watulie, ni rahisi kuongea na cm kuliko kuchat na upo msibani ,
  11. N

    Uchawi, ushirikina, ulozi, wivu ,roho mbaya nk, ndio sababu ya nchi za afrika kuendelea kuwa masikini.

    Sababu watu wanamatatizo kweli, na fikra yao wanaamini wakienda matatizo yao yataisha wamejazana huko.
  12. N

    Uchawi, ushirikina, ulozi, wivu ,roho mbaya nk, ndio sababu ya nchi za afrika kuendelea kuwa masikini.

    Habari wa kuu, kimsingi Kuna vitu vingi vya ajabu sana nchi za Africa hasa ukijiuliza nakutafakari kwa kina, watu wazito kwa kila kitu hasa kifikra na kutambua kusudio la binadamu kuwepo kwenye uso wa dunia, Kwa upande wangu sijawai na sitokuja kuwalaumu watu wanao jazana kwa wanao jiita...
Back
Top Bottom