Recent content by Ngiama makanda

  1. Ngiama makanda

    Yanga 7-0 Mashujaa hiyo Kesho

    Yanga 0-1 mashujaa mimi sio mchawi
  2. Ngiama makanda

    Gharibu Mzinga amemkosea Shabiki anayeigiza kama Mwalimu Nyerere

    Kumtetea mtu ambae taifa zima limemkataa ngumu sana
  3. Ngiama makanda

    Zile PC au FVS waamuzi hawajui matumizi yake

    Wakat mwingine ni bora ukae kimya kulko kuongea then ukaja shusha heshma yako kiasi hiki, ona sasa unavyojivua taulo
  4. Ngiama makanda

    HOJA Wimbi la vituo vya mafuta kuunganishwa na biashara nyingine, usalama unazingatiwa ipasavyo?

    Shida ni kwamba Petroli hutoa mvuke unaoweza kuwaka kwa urahisi ukikutana na moto, cheche au chanzo kingine cha kuwashia.
  5. Ngiama makanda

    HOJA Wimbi la vituo vya mafuta kuunganishwa na biashara nyingine, usalama unazingatiwa ipasavyo?

    Pale mwanza kuna kituo cha mafuta kabla hujafika stand ya mabasi ya nyamuhongolo upande wa kulia mwa barabara kama unatoka mjini kuna kituo cha mafuta ndani yake kuna sehemu jioni watu wanakunywa bia halafu kuna jiko limewekwa nje wanachoma na nyama
  6. Ngiama makanda

    "Tangu niwe na wewe nimepata nini zaidi ya kukonda "

    Piga shoka la kichwa kajisalimishe police
  7. Ngiama makanda

    Kisinia kisicholeta ugonjwa wa Kisukari

    Mimi kabisa huyu bila pepsi sijiskii kabisa
  8. Ngiama makanda

    Umejifunza nini kwenye hii Picha iliyopigwa baada ya ajali ya Chivayo?

    Eneo lote lina nyasi kavu lakini cha kushangaza palipoungua ni sehemu ndogo tu
Back
Top Bottom