Recent content by Ngatuni

  1. N

    Funny video clips + Photos

    Oneni hii, tuweni makini barabarani. ngatuni
  2. N

    Barua ya wazi kwa rais Kikwete

    Jamberi, Hayo uliyoeleza ndiyo haswa kiini cha mimi kuandika hii post. Kiongozi wetu amekuwa anafanya/kusema mambo bila kuchunguza kwanza na kuona impact yake kwa jamii, kwa muda mfupi na mrefu. Mfano mmoja ni huo wa Tanesco, alipowaambia wasipandishe bei ya umeme na badala yake...
  3. N

    Barua ya wazi kwa rais Kikwete

    Mheshimiwa Rais, nimefurahishwa vilivyo na jinsi ulivyoanza uongozi wako wa awamu ya nne kwa ziara za kushtukiza unazozifanya sehemu mbalimbali ambazo unahisi kuna matatizo yanayowaelemea wananchi. Kwa jambo hilo nakupa hongera sana. Wasiwasi wangu ni kwamba, je,baada ya ziara kama hizo ufumbuzi...
Back
Top Bottom