Kweli yakhe! Pakacha si mzigo atii! Ila kilichomo pakachani ndo mzigo wenyewe! Lau pakacha halifungwi kama mzigo, aghalabu pakacha huwa wazi, kama yale yatembezeayo madafu, mboga na vikorokoro vingine. Ila kipakacha ni kidogo hicho, kama vile vibebavyo vitunda kama zambarau, shokishoki au hata...