Recent content by Ngalaiyoki

  1. N

    TANESCO kufumuliwa, kusukwa upya

    Huenda ikasaidia maana kukosekana kwa ushindani kumewafanya Tanesco kukosa ufanisi wa kazi zao. Huenda hii ikatupa matunda mazuri Prof. hebu changamkia hii ndani ya huu mwaka
  2. N

    mwisho bia ngapi

    Inategemea ushauri wa Dr. lakini wanasema Bia moja kwa afya
  3. N

    Matokeo ya sensa: Tanzania ina watu 44,929,002!

    Kuna shida kidogo kwenye hii idadi. Kwa muda mfupi tu niliochunguza kuna familia tano ambazo watu wa sensa hawakufika kabisa. Je kwa nchi nzima watakuwa wangapi?
  4. N

    Hotuba ya TUCTA May Mosi 2012

    Naomba msaada wa kupata nakala ya hotuba ya TUCTA jana kutoka kwenu wanajamii
  5. N

    Msafara wa Siyoi na wapambe wa CCM kuchukua fomu wazomewa njia nzima

    MMOJA WA WAHIDHIRI WAANDAMIZI CHUO KIKUU DAR ES SALAAM ALISEMA "mimi nawaandaa watoto wangu waje kuwatawala kama mimi ninvyowatawala baba zenu" WE ARE NOW STIRRING TO THAT DIRECTION
  6. N

    Njenga Karume, former Defence Minister, passes away at 83.

    It is really shocking two cabinet minister in a week is not a joke. MAY THEIR SOUL RIP
  7. N

    Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

    Ningekuwa mimi namfukuza kazi mara moja - PM
  8. N

    Bungeni: Mjadala wa dharura juu ya mgomo wa wauza mafuta

    Mbunge wa CCM Kwimba yupo bungeni - vituo vyake vinauza mafuta yeye anapata wapi
  9. N

    Mwakyembe amtaja waziwazi Rostam Aziz!

    Kuna mzungu aliiweka serikali ya Mwalimu J K Nyerere mfukoni habari zake mlizisikia. Je RA amechukua nafasi yake baada ya mtetezi kuondoka? Kwanini hakuna wa kumkemea. Turudi Tunisia basi kama kuna ushirikiano na walioko juu
  10. N

    This is Dowans HQ in Costa Rica - (Pictures)

    The Portek Group, established in 1988, and headquartered in Singapore, is a turnkey provider of equipment, services and solutions to ports globally, as well as an operator of medium sized container and multipurpose ports. As a provider, we are able to deliver both capacity and productivity...
  11. N

    Serikali yataja wamiliki wa Dowans

    Wamechukua muda mrefu sana kuwataja wamiliki na hawa wamepachikwa tu. Hebu wanajamii tufuatilie hili kwa karibu hili suala.
  12. N

    Serikali yataka kumaliza tofauti za kisiasa Arusha kwa mazungumzo

    Wana AR poleni sana Mwenyezi Mungu awalaze marehemu mahali pema peponi
  13. N

    IKULU: Kikwete si mmiliki DOWANS!

    If they are aware that someone is NOT the owner then they must be in a position to know the owner of this Dowans. I wonder why they don't tell us. Is this really a genuine payment? Where is the controller and auditor general
Back
Top Bottom