Recent content by ngakotecture

  1. N

    Ilikuwaje Tundu Lissu na ndugu zake wameshindwa kujenga nyumba za kisasa kwao?

    Enheee tuambie Lissu alikuwa na nafasi gani kubwa serikalini?
  2. N

    Kangaroo court…..

    Kafwirwe uko.
  3. N

    Gari la tesla roadster lenye uzito wa tani mbili linawezaje kuruka angani? Lina tumia physics ya namna gani kuruka?

    Kiongozi kwa hesabu izo mara manewton mara anga mara ton 2 si bora na ww ungeunda ata pikipiki utuuzie bei rahisi.
  4. N

    Watu wajinga ndio wanaoa na kuzaa: Akili kubwa ni kinga dhidi ya ndoa na uzao wa hovyo

    Ni kweli aiseeh nakuunga mkono mkuu tukianzia na mfano wa mazwazwa wawili ambao ni baba ako na mama ako wakaungana na kujambiana wakalizaa yage yage wakakukuza ila wangejua wangekutupa tu.
  5. N

    UVCCM wasema chanzo cha maadili ya wanafunzi wanaodai kuchukua Mabwana ni viongozi wa dini wanaohubiri Siasa

    Hao nao uvccm wazazi wao wamefeli malezi yao ndo mana wanaropoka tu.
  6. N

    Raia Namba 1 hata kusema poleni Watanzania tuanze ukurasa mpya, hakuna!

    Wewe walilie wadanganyika sisi tunamlilia chivayo.
  7. N

    PostGE2025 Mtu umechoma, umeiba, umeharibu mali za watu, ugomvi ukaibuka, wenzio wakafa sasa serikali imekosa nini?

    Shehe wa mchongo sharifu majini yalimkuta pia japo nae alikuw chawa kama wewe.
  8. N

    Mwanaume wa Dar akitimiza majukumu yake

    Mimi sifagilii ussengge ndo mana sijaposti wewe ndo unapost wenzio mkiwa kazini
  9. N

    Mwanaume wa Dar akitimiza majukumu yake

    Yani wewe unayepost na uyo wote wamoja maana isingekuw unawafatilia wala usingejua uyo mwanaume wa wapi.
  10. N

    KERO Malalamiko kuhusu malipo yasiyo na usawa kwa wataalamu wa maabara mkoani Mwanza, wakati wa mitihani ya NECTA

    Sisi ayo hayatuhusu ukiona huelewi acha kazi uje tushinde wote mtaani uku.
  11. N

    Hivi Mwanaume anaweza akachomoka mbele ya mwanamke wenye fedha kuliko mpenzi wake au tunalaumu wanawake tu

    Usichokijua mwanamke mwenye fedha hatoi fedha kwa ajili ya mapenzi anatoa chenji tu yani pesa za vocha na za nguo tu tena mbili au tatu na za mtoko mukiwa pamoja
  12. N

    Prof Alhad Salumu ampa pole IGP Wambura kwa kufiwa na Baba mzazi

    Jamaa anapenda kujipa maungozi kila tobo yumo!
Back
Top Bottom