Uhalifu ni uhalifu, hakuna dini Yeyote ile inayoamuru au kufunza watu wake uhalifu, pia jina siyo utakatifu, mtu mwenye jina lolote lile anaweza kufanya uhalifu au kosa.
Chuki na dini Yeyote ile siyo kigezo cha kukupoza maumivu yako, kwa mwenye chuki na dini au jina la dini pole yake.
Kama umeandika iwe maudhui sawa ila kama umemaanisha ni vyema ungesema upo wapi na una vyanzo vingapi vya uchumi ili tuhamasike na uyasemayo, vinginevyo nchi yako itabaki kuwa masikini wewe na wananchi wengine
Kikuu wapo sawa tu, kwa zile bei zao na bado mtu hasomi maelezo mwishowe mtu anatoa milio, ila binafsi sijawahi kutana na kadhia yeyote ile na huwa naagiza, NB: Bidhaa nzuri ina gharama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.