Recent content by Nexltshahda

  1. Nexltshahda

    Mahakamani 28 Septemba: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Kw nondo kama hizi ningekua wakili ningekua nishapiga nyundo kua kesi haina ushahidi wa kujilidhisha
  2. Nexltshahda

    Namna Uzungu umechangia kuharibu sana ndoa!!

    Ndiyo maana binti yangu siwezi kumruhusu angalie mouvie tofauti na kanumba
  3. Nexltshahda

    Mke baada ya kusikiliza kesi ya Tundu Lissu amfanyia cross examination mumewe

    MKE BAADA YA KUSIKILIZA KESI YA TUNDU LISSU AMFANYIA CROSS EXAMINATION MUMEWE. Mke: ikupendeze mume wangu naitwa Chausiku Omar mkeo wa ndoa Mume: Nipo timamu mke wangu Mke: Nitaanza kukuuliza kuhusu Khadja Mume: Nakusikiliza Mke: Sasa niambie Khadja ni Nani Mume: Khadja yupi...
  4. Nexltshahda

    Hivi mkeo anapokunyima Unyumba, unatakiwa kuchukua hatua gani?

    Hii kitu ilinivunjia ndoa,,, na huu ni mwaka wa 3 tangu niachane na mke wangu na mpaka saivi sina mpango wa kuoa. Yani nilidhani ukioa unakua umesogeza k karibu ili kukwepa umalaya,,, maana nilikua nampa kila kitu hata kazi nilimkataza lengo akae apendeze cha ajabu eti anaifunika wiki mbili kisa...
  5. Nexltshahda

    Ina maana hata wanahabari hawajajaribu kumtafuta Nchimbi?

    Nakumbuka nchimbi alisema hivi kama unjua ulichaguliwa kihaki inakuaje unakua na watu wanaofatilia maisha ya watu kisirir siri na kukuletea wewe? 🤣
  6. Nexltshahda

    Kesi ya Uhaini ya Lissu inaendelea Mahakamani, DCI Kingai kutoa ushahidi wake Septemba 18, 2026

    Nilidhani kwakua umri umekutupa hautokumbuka alichokua akikifanya mama yako pamoja na ukoo mzima,,, 🤣🤣🤣
  7. Nexltshahda

    Kesi ya Uhaini ya Lissu inaendelea Mahakamani, DCI Kingai kutoa ushahidi wake Septemba 18, 2026

    Hibo nikiandika wewe ni kum*** au nikakwambia kua wewe unat*** mbwa nitakua nimetukana?
  8. Nexltshahda

    Kesi ya Uhaini ya Lissu inaendelea Mahakamani, DCI Kingai kutoa ushahidi wake Septemba 18, 2026

    Yemweeee,,,,,,, imetosha imetosha imetosha🤣🤣🤣🤣🤣
  9. Nexltshahda

    Wachaga,wazaramo na waluguru hawa watu hata kwenye mishe zao WANAUZANA NA WANAUWANA

    Ukitaja hayo makabila aisee mwenzio nawaza ngono tu
  10. Nexltshahda

    Kwa Uwezo Mkubwa Wa Akili na Ujuvi Wa Sheria Aliouonyesha Wakili Katuga . Napendekeza Afikiriwe Kupandishwa Cheo Zaidi na Kuteuliwa Kuwa Jaji

    Nimeishia kusoma jina la mleta uzi ila sijafanikiwa kusoma uuzi wenyewe maana najua hakuna la maana analozungumzia huyu demu wangu lucas.
  11. Nexltshahda

    DOKEZO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    Kwa maelezo yake anasema walimwambia M27 ni nyingi hawana kwa hiyo uwezo walio nao ni m3
Back
Top Bottom