Tatizo, ndugu, sio message. Tatizo limo ndani ya mwenza wako -- ana-respond to stimuli. Kwahiyo, hata ukimnyang'anya au kumtafutia kazi ya kufanya, kama walivyoshauri wengine, hautakuwa ufumbuzi.
Kwa mfano, tuchukulie huna mtandao nyumbani. Leo umemnyang'anya simu, kesho, keshokutwa...