Recent content by Ndumugabho

  1. N

    NARUDIA TENA TANESCO KIGOMA KITENGO CHA SURVEYING KICHUNGUZWE

    Kwa sasa wamekuja na utaratibu wa kufuta maombi ya wateja waliokaa kwenye mfumo bila kuwafanyi tathimini. Sasa sijajua hiki kitengo kinahitaji nn au ndo dirisha la pesa, Inapaswa wawe wazi
  2. N

    Responded HOJA TANESCO Kigoma inapaswa ichunguzwe hasa kitengo cha Surveyor

    Ukimaliza hiyo nakupa nyingine ya mwezi wa 8 na mwezi wa 4
  3. N

    Responded HOJA TANESCO Kigoma inapaswa ichunguzwe hasa kitengo cha Surveyor

    Angalia hii ya mwezi wa saba, iko surveyed lakini hakuna control namba 0108261689. Hii ni ya toka mwezi wa saba
  4. N

    Responded HOJA TANESCO Kigoma inapaswa ichunguzwe hasa kitengo cha Surveyor

    Walio omba ni wengi. Sasa waomba namba yangu halafu wengine itakuaje
  5. N

    Responded HOJA TANESCO Kigoma inapaswa ichunguzwe hasa kitengo cha Surveyor

    Nafikiri yawezekana wametengeneza ka dirisha ka pesa
  6. N

    Responded HOJA TANESCO Kigoma inapaswa ichunguzwe hasa kitengo cha Surveyor

    Toka mwezi wa tano watu wanaomba umeme lakini hakuna surveyor kuja kuangalia wiring na kutoa control namba. Ukijaribu kuuliza hupewi ushirikiano kabisa. Sasa mtu unajiuliza hawa jamaa wana shida gani ila hupati majibu. MREJESHO WA TANESCO 👇🏻...
Back
Top Bottom