Recent content by ndenga

  1. ndenga

    Natafuta Mwanaume wa kubadilisha naye mawazo

    Fursa sawa kwa wote: Hii ndiyo yenyewe, turuhusu watu wote kufanya maamuzi juu ya maisha yao. Hongera sana. Jitahidi umpate ambaye ameokoka. Mlokole itakuwa vizuri zaidi.
  2. ndenga

    Ilikuwaje Tundu Lissu na ndugu zake wameshindwa kujenga nyumba za kisasa kwao?

    Kujenga nyumbani ni utamaduni wa baadhi ya makabila na wala siyo lazima kwa kila mtu. Tusiige sana vitu vya maeneo mengine. Kila maeneo wana utamaduni wao.
  3. ndenga

    Lema aondolewe mstari wa mbele wa mapambano haraka ataharibu morali ya wapambanaji vitani wanapigwa risasi

    Pamoja na kuwa kwenye siasa kwa miaka mingi lakini bado ameonyesha imarturity ya hali ya juu na uwezo mdogo wa kuvumilia vitu. siyo kila kitu ni cha kujibiwa.
  4. ndenga

    Yanga Sport Club iitolee Tamko Azam Tv

    Waliteseka sana Simba, ni muda wa wao kupumua hata hii mechi moja. Mechi zinazokuja kipigo kitaendelea
  5. ndenga

    Moshi, kati ya Manispaa Chache Chafu Zaidi Tanzania Bara!

    Ninaamini huko baadaye watabadilika la sivyo wataishia kuwa Wantam. Maana Moshi ni ngumu sana kuvumilia watendaji wabovu. Cha msingi wabadilike wairudishe Moshi ilipokuwa. Moshi kwa sasa imezidiwa hata na Bunda kwa usafi na mpangilio wa vitu.
  6. ndenga

    Moshi, kati ya Manispaa Chache Chafu Zaidi Tanzania Bara!

    Maswali ya Msingi hapa. Moshi ilikuwa Munispaa inayoongoza kwa usafi kwa kipindi cha nyuma kwa muda wa miaka 10. Ilikuwa ukikaribia Moshi kila mtu alikuwa anaheshimu kutupa taka ovyo..kulinda maeneo ya wazi, mpangilio wa maeneo ya biashara etc. Kwa sasa inasemekana wamerudi nyuma. sasa...
  7. ndenga

    UWEKEZAJI KATIKA HISA LEO 4/5/2026

    Mwanga Bank is the best in Town now days. Management ya hii bank wanapaswa kupewa zawadi. Hongereni sana. Mkiendelea hivi miaka 10 ijayo mtaanza kuwa na Matawi Nairobi, Bujumbura, Kinshasa, Kampala, Kigali etc
  8. ndenga

    Serikali ije na sera ya kuhimiza makampuni makubwa kujiunga na soko la hisa D.S.E

    Naunga mkono hoja, hii ndiyo njia mojawapo na muhimu itakayotoa nafasi kwa watu wengi kufaidika na uchumi wa nchi..na itarahisisha uwekezaji kukuwa kwa baadhi ya makampuni
  9. ndenga

    Pakistan waliwezaje kutengeneza na kumiliki silaha za nuclear bila kuingiliwa na Marekani?

    Pakistan ana ushirika mzuri na Marekani na wadau wa Ulaya. Ndiyo maana ameruhusiwa kuwa nayo, hata Marekani wana Military base pale kwao.. Hata hivyo viongozi wake hawana mihemko sana hivyo madhara yao ya kuwa na nyuklia yanavumilika. You can imagine Umpe nyuklia nchi kama Yemen..usalama wa...
  10. ndenga

    Kabla hujataka kumuongoza mwingine, jiongoze kwanza wewe katika maeneo haya ili uwe kiongozi bora

    Good, umeandika vizuri sana na kwa kutulia. Nimejifunza kwa kweli. Ila hili linabeba mengine 2.Mentality(akili)
Back
Top Bottom