Recent content by Narekeremo

  1. Narekeremo

    TATIZO LA FIGO LINATIBIKA;

    Habari wana Jamii Forum, tatizo la figo limekuwa changamoto kwa wengi kunayo tiba asili yenye matokeo chanya kwa mwenye tatizo hilo karibu utatumia dawa hii ya asili kwa siku 21 tu na kuona matokeo yake.
  2. Narekeremo

    PostGE2025 Sisi tuliookoka tunayaishi maagizo ya Mungu bila unafiki. Hatuwezi kuadhimisha vifo vilivyotokana na kukiuka maagizo ya Mungu (dhambi)

    Kweli kifo kikiwa kwa jirani sherehe na wahenga wakasema uzuri wa jeneza mtu hai sikutengemea kuona ujumbe wa namna hii toka kwa Mtanzania anayejitambua na kwa nyakati kama hizi.
  3. Narekeremo

    GE2025 Mgombea wa CCM hajaongea jipya lolote, ameshindwa kujinadi vyema

    Hii ndo maana hata mpina wamemuzuia kimkakati
  4. Narekeremo

    Mjuaji Vs Mtaalam

    Mjuaji kwa lugha iliyoko kitaa kwa sasa huyu ni CHAWA.
  5. Narekeremo

    Full Time: Young Africans SC 2-0 Singida Black Stars | CRDB Federation Cup | Final | New Amaan Stadium | 29.06.2025 | Yanga Bingwa

    Hii yanga ni kivutio tosha cha soka letu hapa nchini inatoa burudani kwa kuitazama huchoki.
  6. Narekeremo

    Arajiga Mechi ameshindwa kuimudu

    Hahahhaaaaaaa hawa watu vichwa vyao bado vimetengana na ufahamu kwa tukio la majuzi kati si wakuwasikiliza.
  7. Narekeremo

    Mdogo wangu wa kike kapotea tokea siku ya ijumaa

    Yaani kwa mtoto wa kike akisha jua tu kuishika na kuielekezako tayari kichwa huwa kama kimejaziwa bando la mwaka hashikiki wala haambiliki utamaliza viatu tu mkuu huyo kashakua mwenzio.
  8. Narekeremo

    Yanga SC ikishinda leo niitwe Aziza Jumanne

    Hiyo aibu utaipata wewe Aziza
  9. Narekeremo

    Yanga timu mbovu haiwezi kushinda bila timu pinzani kupewa kadi nyekundu. Simba timu bora imeshinda bila nyekundu

    Mc Alger nayo ya wapi hii au hii timu iko kwenye kundi lenu sisi hatuna timu ya namna hiyo ujue nyie makolo na akili zenu mnazijua wenyewe tu.
Back
Top Bottom